I Want Everyone To Write Down Their Height And Weight

I Want Everyone To Write Down Their Height And Weight

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
No lying please..

Naanza na mimi ni 175 cm tall =1.75 m
and 76 kilos

Unajua BMI??.... Ni Body Mass Index

BMI >25 (greater than 25)= overweight
BMI>29= obesity

How to calculate BMI??? .....(BMI = kg/m² ) weight in kilograms devide by height in meters²


BMI ya Boflo ni 76 devide by( 1.75*1.75=3.06)

BMI=76 devide by 3.06=24.83
BMI yangu ni 24.83 ni ok nina afya nzuri

Sasa wewe Taja BMI yako??????
 
Y should i write my height n weight?

Faida zake ni nyingi sana........ ukiwa na weight kubwa....wanaopenda wanene watapata kukujua
ukiwa na weight ndogo....wanaopenda wembamba watapata kukujua na apply same principle to height
 
Boflo nikitaja nitapata nini? mi ni mnene mfupi.
Kutaja kwangu hapa kutanishushia points sana
Kwa hiyo lazima motivation iwe ya uhakika...
 
hahhah!!!!

kingredha kigumu sana....!

hiyo title ya bandiko si ya great thinker
 
Boflo nikitaja nitapata nini? mi ni mnene mfupi.
Kutaja kwangu hapa kutanishushia points sana
Kwa hiyo lazima motivation iwe ya uhakika...

Basi kama haujui Mwali......
wanawake wafupi na waliojazia ndio hotcake
 
Dah!nakusalimu tu broda boflo!nikijipima nitakuja kuandika!
 
Back
Top Bottom