I took my boda for a movie

I took my boda for a movie

Alinipenda asilimia mia na kuzidi, tulianza maisha kwa kulala chini hata mpaka kufikia steji ya kusema afadhali ya leo kuliko jana si ndio akakutana na boda boda !
Bahati nzuri thread zake zipo humu kibao.
Basi issue itakuwa ni kufikishana kilele Mkuu 😂😂 mambo ya show big big
 
Mimi boda boda sina hamu nao!
Nilipokua naanza mahusiano nilikua na msichana wangu yaani ilikua soul mate wangu , tulipendana mfano hakuna ! Boda boda akapita nae mazima mpaka leo hii sijawahi hata kukutana naye.
Boda boda mjue dunia ni ndogo sana!
Mlaumu huyo msichana wako na sio boda boda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom