Miaka 6 mtoto amamtamaoi mamake kimahaba?
Niandike kwa Kisukuma cha Ntuzu?
Unashangaa hiyo?
Sigmund Freud anakwambia mtoto wa kiume anaponyonya (as in breastfeeding,lol) ni sexual satisfaction!
Hahahahahahaha nafkr umewasemea wanaume wote
Ni nini ulichokifanya kwa mfano? Sometimes huwa nina wasiwasi wa kijana wangu, mpaka leo hutafuta nafasi ya kushare a bed na mimi kitandani, he is 14 now. Akiumwa tu atataka aje kulala kwangu, he is mama's boy.
mimi wakati niko mdogo ila form 1/2 hivi nilikuwa namzimia rafiki wa mama yangu kinoma!!!! alikuwa a bit younger than my mum...she was super hot!!! nimemuona kama three months ago ashazeeka nikajiuliza swali kama lako...nilikuwa nafikiria nini wakati ule!!!
Interesting..
nilisoma historia ya Shaquile Oneal ...ndo nilikuja kujua kuhusu hiyo kitu
wanasema Shaq nayo anayo hiyo kitu.......pole sana naona umeshapona now
Wow...even to me that's a bit too much.
He's 14yrs old and still likes to share a bed with you?
Not good. You should have nipped that in the bud long before he turned 14.
But different strokes for different folks.
anayo?Interesting..
nilisoma historia ya Shaquile Oneal ...ndo nilikuja kujua kuhusu hiyo kitu
wanasema Shaq nayo ANAYO hiyo kitu.......pole sana naona umeshapona now
anayo?
as in now?
nielezee vizur
I know, but I think he is still honest halafu ndio juzi nilovuomtembelea shule namuona na vichunusi puani.
Ila bado sauti haijabadilika nina uhakika atapunguza kudeka soon
Don't mind Nyani Ngabu, Its something normal though its weird, I got things in my heart and If I have to reveal them, then I should have a Vacation trip to Hell