Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,502
Asante, bora na wewe limekuudhi.
Inaudhi sana aisee, kumfanya mtu afikirie kitu kama hicho ni tusi kubwa sana.
So insensitive
Asante, bora na wewe limekuudhi.
duh! wangu wa kike ana miaka 7 na ana tabia hii ya kupenda kushikashika nyonyo zangu na hata kunyonya. Sasa hivi ameacha baada ya mimi kuwa mkali sana lakini naona bado anatamani. Sijui sababu maana kama ni kunyonya amenyonya mpaka miaka miwili.
Kusema kweli wala sijali kabisa kama watakuwepo ambao watautumia huu mkasa dhidi yangu.
Nishakuwa mkongwe vya kutosha [blog-wise] kutobabaishwa na madongo ya watu ambao hata hawakujui na wewe huwajui.
Ngozi yangu ishanenepa vya kutosha na nimejifunza vizuri sana namna ya kupuuza hayo madongo na ndo maana wakati mwingine unaona dhahiri kuwa kuna watu wananirushia madongo lakini nawapuuza kabisa. Sitapungukiwa wala kuongezekewa na chochote na madongo yao.
I AM MADONGO-PROOF these days:becky:.
Ila kwa kweli matumaini yangu juu ya hili ni kwamba labda watajitokeza na wengine ambao pengine kwa sababu moja ama nyingine walikuwa wanashindwa kufunguka kwa sababu ya kuhofia kuhukumiwa.
Binafsi nilipata utanabahi wa uwepo wa hiyo hali nilipokuwa chuoni mwaka wa kwanza kabisa. Si unajua tena mambo course requirements, electives, na GPA boosters, mwishowe unajikuta unachukua Elementary French I & II, Intermediate French I, Introduction to Psychology 101, na kadhalika.
Sasa humo kwenye Intro to Psych 101 ndo kuna hayo mambo ya Oedipus Complex.
Kitu ambacho najaribu kukielewa ni kama hii hali inaendana na tamaduni za mtu/ watu au ni hali iliyo ya kibinadamu bila kujali tamaduni. Yaani inatokea tu pande zote za ulimwengu, Afrika, bara Hindi, Chinani, Ulaya, Marekani, na kwingineko.
So hopefully watu watafunguka.
Sasa kama maneno tu yanaumiza, hivi unadhani akimkuta kweli itakuwaje? Ndio awe makini sana na haya maneno akiyatafakari ndio atajua umuhimu wa kuwa makini na mwanaye. We kony hujawahi kusikia mama kalala na mwanaye? Unadhani huwa wanaanzaje? Halafu hii mada si inahusu watoto kuwatamani wazazi wao kimapenzi? Sasa kama kweli mtoto anamtamani mama yake unadhani ni kitu gani hasa kinaweza kutokea kama mazingira yataruhusu?KUna maneno ukimwambia mzazi kuhusu mwanaye yanaumiza, hivi kweli mwanaye amkute chupini??
Good! try to keep it that way.God forbid, I am more than 100% sure kuwa wazo hilo halijamuingia mwanangu.
Ila wabongo kwa unafiki hatujambo! Mara ngapi tunasikia watoto wamelala na mama zao?!! Halafu eti mtu anakuja humu na kujieleza yeye mwenyewe kwa matakwa yake na mwisho wa siku anataka asifiwe sifiwe na kuambiwa kile anachotaka kusikia. Ingekuwa hivyo basi ni bora usilete humu na ndio maana kuna watu hawaleti habari zao humu. Ukishaleta hapa kumbuka kuna watu wataiangalia habari kwa mitazamo tofauti.
Watu wanafanya kama vile hizi ishu ni ngeni na haziwahusu! Kwamba kila mtu anapaswa kuwaambia ni kawaida na ni kitu kizuri. Hivi kama unaendekeza tabia zinazoweza kupelekea ishu kama hizi kutokea unategemea nini? Waswahili wanasema mzaha mzaha jibu hutumbuka usaha (Inawezekana nimekosea hii methali maana ni kitambo sana).
Hoja hapa ni kwamba, mitazamo ipo mingi na watu wengine tunatumia lugha ngumu ili tueleweke kirahisi mambo ya kuvalisha valisha maneno magazeti muda wote ndio maana wakati mwingine hatuelewani.
Angalia asijekuwa anataka mzigo huyo. Siku nyingine ukijisahau ukamruhusu kulala na wewe utakuja kumkuta chupini shauri yako!!
Angalia asijekuwa anataka mzigo huyo. Siku nyingine ukijisahau ukamruhusu kulala na wewe utakuja kumkuta chupini shauri yako!!
mwali hem ngoja kwanza!waalimu na behavior psychologist wanaweza kukueleza haya kwa uzuri zaid.
myself kama mama na mke ambaye recently nimejaliwa mtoto wa kike pekee, nimeyaona haya. ilianza kama mchezom pale hubby alipoanza vitabia ambavyo hakuwa navyo kabisa before. ilianza akiingia ndani nilikuwa nabusiwa mimi kwanza kabla hajasalimia watoto wake lkn sasa anambusu ka girl kake na kama nisipojikomba ananiyeyusha na kunedelea kusalimia awanae kwanza. binafsi wala sijakasirika manake najua sasa emotionally ile bond kati yake na bintie ndo imedevelope na he feels kwamba he is the only man who can fill that gap.
cha ajabu zaid mie kwakua vidume vya kutosha huwa niko navyo close sana, na wa pili kutoka mwisho ananiapenda sana sasa huyu despite the fact that anaye mdogo wa kike lkn muda wote kama sijambeba mdogo wake huwa anakuja kujipakatisha afu anachezea nyonyo zangu. baba yake huwa pissed off na hiyo tabia lkn najua kama mwanangu want to discover je aende wapi?? sasa baba anasema unamfunza viby mie namwambia akikua ataacha, lkn yeye baba haelewi na ukweli inatupa wakati mgumu sana ndani.
nilichojifunza ni ivi sexual emotions za watoto huwa accomodated na wazazi wao adi watoto wale wanapokuwa na kupata wenzi wao. lakin pia watoto wanapotaka kujifunza kuhusu jinsia tofauti basi hujifunza kwanza kwa wazazi wao kabla ya kwenda kwa wenzi wao.
jambo la msingi la kitazama ni mzazi usivutike ukajikuta umemwachia mwanao utupu wako
mwali hem ngoja kwanza!
atiiii?
A baby girlito??
huyo naweka oda!
nipe akaunti number nianze kuweka kidogo kidogo!
Wait a minute!
Unazungumza kuhusu ukaribu wa mama na mtoto hapa For Petes sake!
unawezaje hata kuwaza hivi kuwa kipo kwenye akili ya innocent kid wa hivi?
maneno mengine mnandika mnafanya tulio mama kwa hao watoto tuumie !
yani sijui umewazaje aseeeeh!
how could you?
asee tuombe radhi!
This is more than an insult!
Waache waendelee kupeana maneno matamu matamu. Watu wanaongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia wa mambo!Mbona watu mnamshambualia mjasiria pasipo na sababu ya msingi?
Hivi alipokosea hasa ni wapi?
Kwani nyie hamjawahi sikia habari za watoto na wazazi wao kufanya tendo la ndoa?
Waache waendelee kupeana maneno matamu matamu. Watu wanaongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia wa mambo!
Kwa kweli sijaona kibaya ulichokiandika.
Mzazi yeyote yule, awe wa kiume au kike, mtoto anapoanza kukua ni lazima na muhimu kuweka mipaka ili kuepusha mabaya.
Hiyo mbona ni common sense tu....
So you think siweki mipaka? Ningekuwa siweki mipaka nisingesema 'anatafuta excuse ya kulala kwangu' maana ingekuwa given tu. Last time nimeshare naye a bed alipokuwa anaumwa anatapika, so kutokana na chumba chao kutokuwa na choo ikabidi nimruhusu alale kwangu ili iwe rahisi kukimbia chooni anapofeel sick.
Anyway, concern yangu kubwa ni ile aliyoinotice Lizzy kwamba anaweza kupata shida kwenye mahusiano yake baadaye. Maneno makali matupu sio mazuri ni sawa na kusuggest yeye kutembea na mama yake. For you boys inaweza isiwe shida lkn kwetu sisi is unthinkable
wewe!!!ndo shida ya kupata wa kuchanganya jinsia uzeeni
utajibebaaaaaa
mwali mie si nilishakuambia Klein ni wa mage?