I think I'm gonna go to hell in a handbasket for this

I think I'm gonna go to hell in a handbasket for this

Ni nini ulichokifanya kwa mfano? Sometimes huwa nina wasiwasi wa kijana wangu, mpaka leo hutafuta nafasi ya kushare a bed na mimi kitandani, he is 14 now.

Akiumwa tu atataka aje kulala kwangu, he is mama's boy. Wivu anaunesha hata kwa watoto wengine wakija maana he is the only one. Huwa najiuliza halafu sijui cha kufanya. Usipomkiss goodnite anaumia sijui kwavile amekaa sana boarding amekosa mapenzi ya mama?

I just don't know.
 
Hiyo ni stage ambayo kwa mtoto wa like mapenzi yake anahamishia kwa baba na wa kiume anahamishia kwa mama chunguza kwa makini watoto wa stage hiyo,kwa undani zaidi nenda kasome theory ya psychosexual in childhood development.

Najua hiyo, 6 yrs ni ndogo sana kuwa na hisia ya mahaba, ila anachokuwanacho ni upendo wa kawaida. Kwa umri wa kuvunja ungo/ balehe ndiyo umri wa watoto kupata hisia za ngono, na ndipo hapo wazazi wanashauriwa kuwa karibu sana na watoto wao.
 
Did you ever experience it?

mimi wakati niko mdogo ila form 1/2 hivi nilikuwa namzimia rafiki wa mama yangu kinoma!!!! alikuwa a bit younger than my mum...she was super hot!!! nimemuona kama three months ago ashazeeka nikajiuliza swali kama lako...nilikuwa nafikiria nini wakati ule!!!
 
There is no hell or heaven, all ends here, I know you know that brother and shit happens, its just that not everyone has the guts to spill it out as you did otherwise the world would have turned upside down.
So forget it and enjoy your life.
 
Kaunga
Wakati mwingine life style inachangia.
 
Last edited by a moderator:
Nyani Ngabu i've been doing philosophy, psychology and human sexuality courses for sometimes! What you wrote stretched back as far as the story of human life is concerned (GREEK PHILOSOPHY). Ni hali ya kawaida kwa wengi duniani.

Kuitambua hii hali ni hatua moja kuelekea kwenye mature sexual integration. Tatizo linakuja pale utakapotaka kufulfill those thoughts (eg. To be angry is not a problem but the actions of one's anger are the real problems).

Don't entertain them and, knowing them will help you to understand ur sexuality because we are "sexual beings". Read more from the internet mpendwa na hasa uhusiano wako na Mungu utakusaidia kuishi bila kufungwa na dhamira hiyo.

Our God is a merciful and Compassionate God.
 
Last edited by a moderator:
mimi wakati niko mdogo ila form 1/2 hivi nilikuwa namzimia rafiki wa mama yangu kinoma!!!! alikuwa a bit younger than my mum...she was super hot!!! nimemuona kama three months ago ashazeeka nikajiuliza swali kama lako...nilikuwa nafikiria nini wakati ule!!!
Aisee mimi nilikutana na kitu kama hicho ila ilikuwa kwa shangazi yangu, kwa kweli nilikuwa nimuonapo namuona kwa namna ya tofauti sana, na jinsi alivyokuwa anavyonitreat!!!
 
My son almost three, hataki hata kuona napangusa dada zake makamasi let alone kuwa hug na kuwachum atalia sana sana. Hakuna mtu anaruhusiwa kushika vitu vya mummy, hata mtu akitoka kuanua nguo ya mummy ni shida kwa nini huyo mtu anashika nguo ya mummy. Nikiwa nyumbani muda wote ni mummy chum or waow mummy ili apate hug. Siku hizi kaanzisha mpya atanyanyua skirt au gauni langu nikiwa nimevaa na kujificha huko. Ninaambiwa itapita.
Huwa naangalia tu mtoto mdogo wa kiume anavyokuwa na wivu wakati anapoona mama yake either anamchumu baba au wanacheza kimahaba. Anakuwa na wivu hadi kulia kabisa. Sasa hizi feelings za kumpenda maza ukikuwa nazo hadi ukubwani inakuwa abomination asee...!
 
My son almost three, hataki hata kuona napangusa dada zake makamasi let alone kuwa hug na kuwachum atalia sana sana. Hakuna mtu anaruhusiwa kushika vitu vya mummy, hata mtu akitoka kuanua nguo ya mummy ni shida kwa nini huyo mtu anashika nguo ya mummy. Nikiwa nyumbani muda wote ni mummy chum or waow mummy ili apate hug. Siku hizi kaanzisha mpya atanyanyua skirt au gauni langu nikiwa nimevaa na kujificha huko. Ninaambiwa itapita.

Wewee acha masihara, chora mstari.
 
Kaunga upo so close kwa mtoto wako. Itakuja kuwa tatizo, ameshakuwa emotionally affected hasa akikuona. Nafikiri ni muhimu ukiacha "umama" sometimes act like a man in the house.
 
Last edited by a moderator:
tafsiri wengine hatuelewi ulichoandika japo tunatamani kuchangia.
 
Inashangaza, katika kuuliza experience za wengine naambiwa wameshaona haya na yatapita tu. Ninachofanya nahakikisha nikiwa nyumbani sivai nguo inayomruhusu yeye kufunua, atajaribu akishindwa anagive up anaishia kuhug miguu
Wewee acha masihara, chora mstari.
 
There is really nothing to worry about or even being ashamed of. It was something that happened when you were a kid. Moreover, it’s something that can be explained scientifically.

To me, what is important at the moment is your following expression:

“Of course, now it seems so unthinkable to look at her like that let alone allow such thoughts to even flicker through my mind”

The greatest lesson to others reading this post is knowing that such things exist. People will be better prepared to face similar situations.
 
Mmh hebu niwe mtazamaji coz sina experience ya hii kitu kiundani
 
Hapo ınabidi uwe makini lazima ulale na jeans aisee miaka 14 na kidume cha mbegu tayari Kaunga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom