I think am in love with the wrong person

Msichana akikupendaa shida sanaa... Anakuwa na wivu sanaa unakuta anakutishia kukuacha unampotezea kweli then anaanza kuliaa!! Wadada bhanaa afuu kama jamaa ndo kashakuvua kyupiii ndo balaaa... huwezi kumuacha kiurahisi...
 
Hako katabia unakokajenga katakuja kukucost ata kwenye maisha yako ya ndoa ,baadae utaanza kumlaumu mungu kwamba amekusahau kumbe ni wewe na kichwa chako unashindwa kuchanganua mambo na kusolve matatizo yako.Unafikiri kugombana na wanaume ni sifa,au ukijifanya haujar kuachana na mtu ni sifa lahasha niujinga,wewe ni mtoto wa kike unajishushia hadhi yko na utu wako kama mwanamke.
Nb
NB:Wanawake mnawai kuchoka kwa hiyo endelea kupambana na wanaume matokeo yake utayapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…