I think am in love na mke wa fisadi

Kuwa makini dogo utapigwa risasi ya tigo mke wa mtu sumu
Kwani huyo mke wa mtu kashikiwa bastola au kisu? si ametaka mwenyewe?
Unakomaa na mke wa mtu kama kuna masirahi ya pesa....kama hakuna unalala mbele
 
Kama huyo muke ya fisadi ana wazazi nenda kamlipie mahari akuoe mume wa pili!
Dedication: hiyo mibange tunayovuta ni stimu za kulanduka! Kama sio yako fani kwa kweli utadatika!
nataka kujua niendelee nae au nimtose
 
Wababa wa mombasa wakija huku ndo watajua faida ya mitala! Mnapenda kulelewa eh?
Wewe ndo ulilalamika unachoshwa mno ila mshiko unafurahia?
Ha ha haaa umenichekesha sana dada Lizzy!....mie nina mmoja toka kitambo na hivi karibuni kanitoa kiasi fulani.
Ila mashariti aliyonipa ni ya kufa mtu. Nafikiri next week nitafungua mjadala wake hapa ili kupata ushauri wenu. maana mmh!!!
 
Wababa wa mombasa wakija huku ndo watajua faida ya mitala! Mnapenda kulelewa eh?
Wewe ndo ulilalamika unachoshwa mno ila mshiko unafurahia?
Aaaa umenifurahisha sana!
Yes ni mimi hasa....mama kafunguka ila mashariti niliyopewa ni mazito kama si magumu. Yaani sijui nifanyeje!
anyways nitafunguka hapa jamvini next week na part 2 ya ukweli isiyo na chumvi wala sukari
 
hela anayo na mume wake hawezi mambo fulani kwenye mpira uwanjan goli moja mpira umekwisha gani nunulia v8 na kanifungulia biashara lakini kuna rafiki yake ananitaka na yeye mke wa fisadi
 
Kama huyo muke ya fisadi ana wazazi nenda kamlipie mahari akuoe mume wa pili!
Dedication: hiyo mibange tunayovuta ni stimu za kulanduka! Kama sio yako fani kwa kweli utadatika!
Sitaki kuowa nataka kupiga bakora wake wa mafisadi tu
 
hela anayo na mume wake hawezi mambo fulani kwenye mpira uwanjan goli moja mpira umekwisha gani nunulia v8 na kanifungulia biashara lakini kuna rafiki yake ananitaka na yeye mke wa fisadi
Cholo,nikikusoma between the line (ukizingatia umejiunga jana tu hapa jamvini) nimegundua una mambo ya kitoto kabisa....
nahisi umefungua huu mjadala ili kufurahisha watu tu hapa na si vinginevyo. Nina mashaka na story yako....maana kwa mtiririko
huu wa maelezo yako hata sisi wengine tunaodili na mimama hapa mjini tutaonekana waongo hapa jamvini. Anyways all the best
 
what should I do mke wafisadi mzuri ana figure nzuri na anajua kukata kiuno
Hadi hapo umshafika, halafu unaomba ushauri....! Basi muulize wapi mumewe mkubwa anakowekaga hela....! Then utuambie hapahapa JF....!
 
Yaani umeuza roho yako hivi hivi.................ukichoka anakudump kisha anatafuta damu changa zaidi........pole sana cholo
 
Cholo,nikikusoma between the line (ukizingatia umejiunga jana tu hapa jamvini) nimegundua una mambo ya kitoto kabisa....
nahisi umefungua huu mjadala ili kufurahisha watu tu hapa na si vinginevyo. Nina mashaka na story yako....maana kwa mtiririko
huu wa maelezo yako hata sisi wengine tunaodil . Anyways all the best
wewe babu kamanimejiunga jana so
 
mshikachuma unazeeka babu nakushauri rudi kwenu kijijji ukalime au uwemlinzi
Mkuu, mie siyo babu ila namuomba mwenyezi mungu anipe maisha marefu ili siku moja na mimi niitwe babu....
mshikaji wangu siyo siri hii story yako ni magumashi matupu. Kama nimekukwaza basi nisamehe bure mtu wangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom