I think am in love na mke wa fisadi

labda niwape services wote na mume wake fisadi wanakula hela zakodi zetu
 
Cholo una mambo... Ushauri wangu kwako.. Andika kitabu cha fairy tales...we would really love to know the happy endings to all your imaginary tales!
 
umeshakula naye unataka nini?
umejuaje kama anakata kiuno?
unataka tukusaidie nini sasa?
 
ulivoanza nae mbona hukutuuliza?saiv amekukera nini hadi utake kumwacha,we endelea huku ukijua kila alae cha mwenzie nae huliwa!!!!!!!!!!!!!!
 
what should I do mke wafisadi mzuri ana figure nzuri na anajua kukata kiuno

Umejuaje hilo red?? Au ulimwona kwenye kiduku?? Acha zako bana...kwa ufupi mafisadi wengi na Mapedeshee usithubutu kupita walikopita, angalia usije anza mwaka vibaya na ARV.
 
Umejuaje hilo red?? Au ulimwona kwenye kiduku?? Acha zako bana...kwa ufupi mafisadi wengi na Mapedeshee usithubutu kupita walikopita, angalia usije anza mwaka vibaya na ARV.
Condoms does not cost that much little man
 
Kulia na kuliwa ndio maisha ya bongo mzazi
Yani bongo yote hujaona isipokuwa huyo mke wa fisadi hahaha...haya kale angalia tu huyo unasema fisadi asije akafanya mambo ya kifisadi kwako tu.
 
Yani bongo yote hujaona isipokuwa huyo mke wa fisadi hahaha...haya kale angalia tu huyo unasema fisadi asije akafanya mambo ya kifisadi kwako tu.
Hatuna nguvu yakupambana nao kwahiyo bakora tu kwa wake zao
 
Hatuna nguvu yakupambana nao kwahiyo bakora tu kwa wake zao
Kwa hio unachapa tu bakora.

BTW, wewe huna kosa kubwa mwenye kosa kubwa ni mke wake, angekuwa ana adabu zake usinge mchapa bakora :biggrin:
 
Mchukue ili na wewe uje kufanywa mke wa pili wa fisadi.
Ha ha haaa umenichekesha sana dada Lizzy!....mie nina mmoja toka kitambo na hivi karibuni kanitoa kiasi fulani.
Ila mashariti aliyonipa ni ya kufa mtu. Nafikiri next week nitafungua mjadala wake hapa ili kupata ushauri wenu. maana mmh!!!
 
what should I do mke wafisadi mzuri ana figure nzuri na anajua kukata kiuno
Mkuu,kama hii habari yako ni yakweli....basi usiangalie uzuri wake wala hiyo figure yake
Wewe kwanza angalia usalama wako ukoje (toka kwa mume wake au wapambe wa mume wake)
Pili angalia pesa yake....je ana pesa au ni blah blah tu za kutaka kuchoshana?
Kama ni kweli all the best
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom