I seems to be boring

...Usijali.

'nitaku PM...' is boring! Hata wewe na Mr Mtaba communication yenu ikiwa 'nitaku SMS...' maisha yenu nyumbani yatakuwa boring vilevile, au unaonaje?
bora basi hata kungekuwa na hiyo sms ningekuwa namatumaini.
 
bora basi hata kungekuwa na hiyo sms ningekuwa namatumaini.

...kwani tabia hiyo kaianza muda gani sasa? badilisheni mazingira ya maisha yenu, huenda nyote mkirudi nyumbani mnaishia u -coach potato, yeye kashikilia remote ya Tv nawe una gazeti au anaperuzi na kudadisi mtandao.

matembezi jioni yatawasaidia, afya zenu na kubadilishana mawazo.
 
kwani ndoa yenu ilikua ya kupangwa kama za wahindi? mlikua hamjuani fika mpaka mwaoana? if u want watu wakusaidie kukushauri dont u think atleast some infos zatakiwa kuwa wazi
 
Women are weak naturally.....

He he he..mie simo na sijui..mi nadhani movie inayoitwa He is just not into you inaweza kusaidia kuelewa ukweli wa mahusiano ya wawili hawa au wengine wote wenye misongo ya dizaini hii..(vidole hivyo wadau, msije nitoa macho,lol)
 
Pole shost najua utakuwa kweli boring. Ndoa inabidi watu muwe marafiki na mkishakuwa marafiki story huwa haziishi. Hivyo jitahidi kumfanya mume wako awe rafiki yako na uwe naye karibu. Hata kama anajifanya busy we mpigishe story tu, na ukiona bado anakaa kimya mwambie kwamba hupendi anavyokaa kimya wakati ww unaongea. Ukiwa unamfanyia hivi mara kwa mara mwenyewe atajirudi na kuanza kupiga story nawe.
 
Nahisi kuwa huu ni ushauri bora kuliko zote zilizotangulia, nimeupenda ushauri wako dadangu. Zaidi ya ushauri huu itabidi Mrs Mtaba ukubali kuulizwa maswali mengi na uyajibu, otherwise itakuwa ni ngumu kulielewa tatizo. Ninavyofahamu mimi sisi wanaume hata tukiwa wakimya na wakali kiasi gani tunapopatiwa hunywea na kusalimu amri, wala haihitaji kujitia utumwa ili kuweka mambo sawa.
 
Doh mimi ningependa sana mwanamke asiyeongea sana! Maana wengi kunyamaza mpaka wakasirike, na ulilokosea huambiwi!
 
Mrs Mtaba, wewe na Mr. mna viwango sawa? au vinavyoendana? Kielimu, maisha, family background, umri...? Ninaposoma unayoandika ipo wazi una exposure, mara nyingine viumbe huwa na inferiority/superiority complex. Inaelekea tatizo analo yeye na hizi complex they are sooooo complex! If I can say that. Ipo kama hamkufahamiana vizuri kabla ya kuoana, wajibu wako ni kumuelewa na kama tofauti zenu zinamsababishia ...hasa inferiority complex lazima atajititimua na kukupa mashushu kumbe ana hofu na wewe. Usijishushe ila muheshimu ndio mwenzi tena. Ukiokosea tu, utajikuta upo kwenye viwango ambavyo si vyako kisa unamfurahisha na kama si mtu wa shukrani wala hatakuonyesha appreciation na utaumia zaidi. Taratibu...utamwelewa, ongea tu hata akikujibu short si kasikia unalosema?
 
Hasemi nini anachopenda nimfanyie, nikimuuliza anazuga nakukaa kimya!

Duh hii kali, sasa kama ni mambo ya maendeleo kuh familia yenu mtashauriana vipi? Jaribu hivi mnapokuwa mbali mbali jaribu kumtumia sms za mapenzi onyesha jinsi gani unavyompenda, unavyommis, unavyomhitaji ktk maisha yako n.k maybe it can help
 
sijui ila nadhani huyo mwanaume kama hana dharau basi ni mjeuri ndio maana anakupa short answers.....au majibu ya kukukatisha tamaa! lakini swali ni kwamba umemfahamu kwa muda gani? Je hakuwa hivyo kabla? Tafakari hayo kwanza
 
Hasemi nini anachopenda nimfanyie, nikimuuliza anazuga nakukaa kimya!

Duh hii kali, sasa kama ni mambo ya maendeleo kuh familia yenu mtashauriana vipi? Jaribu hivi mnapokuwa mbali mbali jaribu kumtumia sms za mapenzi onyesha jinsi gani unavyompenda, unavyommis, unavyomhitaji ktk maisha yako n.k maybe it can help
Kwa kweli inaniwiwa vigumu kweli, maana hata siku moja husikii hata akiongelea kama maendeleo yetu, pengine tufanye nini ili tuweze kuendelea. Akipewa ushauri unaonekana kwake haufai basi ni taabu tupu.
 
He he he..mie simo na sijui..mi nadhani movie inayoitwa He is just not into you inaweza kusaidia kuelewa ukweli wa mahusiano ya wawili hawa au wengine wote wenye misongo ya dizaini hii..(vidole hivyo wadau, msije nitoa macho,lol)
Hili ndilo jibu nililotarajia...maana kibinadamu this is too much wajameni.
 
Hello my dears Wana JF,
Napenda kuelimika katika hili swala, na hisi kuwa huwa na bore hubby kutokana sijui ni mazoea au sijui cha kuongea naye! Nifanye nini ili nisiwe na mbore, maana mimi nadhani nimkimya sana inaweza kupita masaa manne hatujaongea kitu, na sipendi kuongea pumba nikaonekana wa kuja. Msaada tafadhalini wandugu

Mtaba,

Unadhani wewe ni mkimya?
Ukimya huu unakufanya unakuwa boring?

Wewe huwa unaongea pumba ni mazoea?

Je yeye ameboreka?

Mrs Mtaba ulikutana kwa msingi gani

My honest opinion
This match was not made in heaven

ndoa ya mkeka?
 
Pole sana mama, natumaini kama ni somo umeshalipata. Kila la kheri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom