I seems to be boring

Pengine unisaidie zaidi hivi mwanamke kuwa mnyenyekevu ndo anatakiwa kuwaje. Na je hivi ukikuta pengine mwenzio alikuwa anakuambia pengine ana company then ukaja kufind out ni uongo unatakiwa u act vipi.
Kuwa mnyenyekevu siyo kuwa mnyonge. Kuwa mnyenyekevu maana yake ni kumheshimu mwenzako, kuheshimu mawazo yake, kuappreciate mawazo au jambo lake fulani, kumpa nafasi ya kutenda jambo, kama wewe umekosea kukubali kukosolewa, kama mwenzako ana pointi katika majadiliano yenu kukubali kwamba hoja zake zilikuwa nzito kuliko zako na kuchukua mwelekeo wa hoja zake, kutoakujikweza sana katika mambo fulani fulani, kama yeye kakosea basi umsahihishe kwa upole na mapendo bila kumng'akia na kumwonesha dharau. Wewe ukiwa na karama fulani au elimu au ujuzi fulani usijigambe au kuuringia kana kwamba ni wewe tu duniani. Hizo kwa kifupi ndio viashiria vya unyenyekevu.
Swali lako la pili la company, samahani nimeshindwa kulielewa. Labda ulifafanue kwa uwazi zaidi. Pole sana.
 

Mh maneno mazito sana Babuyao. Lakini ndiyo faida ya kula chumvi nyingi hiyo.
 
...mapenzi yanapokuwa motomoto katika hatua za awali, hutamkwa maneno mengi na akili huyabadili hata yale yaliyo mabaya kuyafanya matamu masikioni...

...ajabu ya akili, mnapokuwa kwenye ndoa maneno hayo hayo yakitamkiwa, unachukua hata yale yaliyo mazuri na kuyajengea hoja almuradi yaonekane yana kasoro.

Miscommunication kwenye ndoa ni jambo la kawaida, lipo ndani ya uwezo wenu kulirekebisha hili. Kwa kuanzia, chukulia kimya chake kuwa ni heri ya kimya chenye mshindo kuliko neno litalokukata kwa makali ya kisu.

 



ashindwe ibilisi....ashindwe na alegee
 
Yani asante sana kwa ushauri wako mzuri kaka, alafu nikimgusia hicho kipengela hapo juu, basi hata kama alikuwa hana pesa atakopa tuu ili uondoke, yani naona hujiskia fresh sana.

Pole mama. It is very clear mapenzi ni kidogo sana kwa upande wake na anaona yaani wewe kama stalker flan hivi una-stalk maisha yake na kumletea kero. Mh..sasa naogopa nisijeambiwa navunja ndoa za watu humu jamvini..aargh
 

Nadhani mlishaachana rgt?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…