Habari wandugu
Nimefanya uchunguzi hapa mjini
Wadada wengiiii wana magar mazuri na wengi ni wachaga. Nawapongeza sana kwani ni haki.yenu maana mnapiga kaz kiukweli. wanajf mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Afu mdada kama Mamndenyi ana miliki magari kadhaa , lakini hamiliki walau Nguruwe wawili wa kufuga !
Mchagga gani hufugi Kitifaya ? Nina doubt na uchaga wenu !