I really miss being pregnant mie Karucee

Karuu, Kiukweli mimi bado niko kwenye majonzi mazito kwa kilichotokea "West-Gate mall" kuna mama mmoja alikua amebakiza wiki mbili ajifungue but she was shot to death.. Its so pathetic
Its ----ed to say the least!!
 

God will give you a child love. And we will all celebrate the bundle of joy with u. Take heart
 
ila it needs a heart to handle whatever happens in this time of prgnancy..unaweza ukavaa,ukala na ukafanya kitu ambacho huwez kuja kukifanya after kujifungua

Kumbe kwetu wakishikaga mimba wanawakimbiaga waume zao na wana demand talaka kabisaaaaa. And that shit Malta? I swear I was nuts to even take a sip.
 
Yaani wewe karucee ungekuwa mdogo wangu ningefungwa jela. Ningekuwa nakukoa makonzi!
Why did u walk out on ur hubby?!

pregnancy hormones. Poor dude. Kwanza nimemkurupusha asubuhi. I feel like such a bitch when I look back. lol
 
Pombe, viroba, bange and now you became mama.

Mungu mkubwa!!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
The best drug ever is to become a mother. You are always high with the feeling of ecstasy and the never ending joys.
 
Ila bwana kwa kweli mimba ni mystery. Kila mara unaumwa,hujui unaumwa wapi. Mara kichwaaaaa mara kiunoooo. Mie nilihamia vyumba vyote mle ndani kwangu. Nikaona haitoshi nikahamia kwa Ma Mkweeeee. Nikazunguka vyumba mle ndani, nikahamia ukumbini nikarudi zangu Mbezi. Home bwana nikahamia ukumbini, hubby akaninunulia godoro nikawa nahama kila usiku.NA chandarua kama hema, so nilikuwa mhamiaji ndani mwangu.
Ikaja ishu ya kutapika. Nilitapika from day one mpaka nikiwa labour wananifanyia operation kazi ni moja tuuuu kutapika. Hahaha. Nilitapika mpaka nikajitapikia nywele. Teh teh teh.
Nikaja kupenda kukaa vijiweni na wavuta bange. Hadi usiku jamani. tumbo liko kuleee lakini nimo. Wakanipa jina Mama Kabaisa. mh!
Home bwana, kuna muembe. Ule muembe mpaka hubby aliupunguza matawi.... kazi kupanda. Nilinunaje??? Na kilioooooooo.
 
eheheeee....sijawai kuwa mjamzito ila i wish that nina mikopo ya folic acid kibao kwa room! pregnant woman to be! natafuta tu father wa kujivolunteer!


mtoto mtamu sana , ila hii style ngumu.........
 
lara 1 kapata mpinzani.none other than Karucee.u can tell frm the way she flows.. &#9829;&#9829;&#9829;&#9829;&#9733;&#9733;&#9827;&#9734;(>_<)
 
Last edited by a moderator:
eheheeee....sijawai kuwa mjamzito ila i wish that nina mikopo ya folic acid kibao kwa room! pregnant woman to be! natafuta tu father wa kujivolunteer!
Father? foster or biological? If biological count on me Smile!
 
Last edited by a moderator:
karucee..
i cant wait to be a mum,Godwilling.
Na ni kweli,a pregnant woman can get away with almost anything,raha aje?
 
karucee..
i cant wait to be a mum,Godwilling.
Na ni kweli,a pregnant woman can get away with almost anything,raha aje?
Oh.... I miss a baby girl. Ka sweet kama hako kwenye picha. A little princess for mama. Am gonna spoil my babies jamaniiiiiii.
 
I've never bin preggo but i will plan....hehehe a father is needed....awe tayari kunisaidia hadi kutema mate
 
Chezea mimba ww mwambie akutie nyingine
 
namshukuru Mungu mimba yangu haikunisumbua.....sikutapika zaidi ya miezi ya mwanzo....na wala sikutema mate.....nilikuwa napenda kula sana.....na nilikuwa napenda makokwa ya embe....duh hii sitasahau.....kesho kutwa my baby boy anatimiza mwaka mmoja....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…