I really miss being pregnant mie Karucee

Mmmh!!! nilvyosoma mpka machozi yamenitoka, nilikuwa na ujauzito wng mwnyw mwanzo hata ckujua nilishtukia tu morning sickness, baridi kali nikawa hata staki hubby aniguse!!!! yani nikawa sensitive na harufu zote yani my hubby alikoma. cku iyo nikaenda kupima malaria docta alivoniona tu akasema mimba hiyo nikapima yani nilifurahi balaa!!!! niliteseka mie sikuweza kula chakula kila kitu nilitapika yani chakula changu kilikuwa supu tu na juice ya ukwaju!!! mimba ilinitesa mie niliumwa sana mpk inatoka sitasahau. wkt mwng nilikuwa nashika tumbo langu mwnyw naongea na mtt wangu hubby alinidekeza but hakuwa riziki!!! Mungu naomba unipe nyingine na mm niitwe mama nipate rafiki wa kweli!!!!.
 
pole; utapata mwingine aliye wako.

 

Pole mama
 
Karuu, Kiukweli mimi bado niko kwenye majonzi mazito kwa kilichotokea "West-Gate mall" kuna mama mmoja alikua amebakiza wiki mbili ajifungue but she was shot to death.. Its so pathetic
 
Yaani wewe karucee ungekuwa mdogo wangu ningefungwa jela. Ningekuwa nakukoa makonzi!
Why did u walk out on ur hubby?!
 
Pombe, viroba, bange and now you became mama.

Mungu mkubwa!!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
eheheeee....sijawai kuwa mjamzito ila i wish that nina mikopo ya folic acid kibao kwa room! pregnant woman to be! natafuta tu father wa kujivolunteer!

Nipe hiyo ni exercise ya week 2 tu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
eheheeee....sijawai kuwa mjamzito ila i wish that nina mikopo ya folic acid kibao kwa room! pregnant woman to be! natafuta tu father wa kujivolunteer!

ah... nipo mama! unajua nipo!
 
Hii thread nimeipenda, hongera dada Karucee kwa kuanzisha hii kitu, ina encourage wanawake kuwa tayari kubeba mimba hasa walio ndani ya ndoa zao, maana kuna wengine kwa sababu ya hizo changamoto wanazozipitia tu wakati wakiwa wajawazito wanaona kero kurudia tena, kumbe Mungu ni wa ajabu siku zote na itaendelea kubakia hivyo daima. Ebu angalia wewe unapokuwa mjamzito hata respect unayoipata hasa kutoka kwa wanaume, utazani wao ndio walioiweka hiyo mimba, na hii inakuja automatically huhitaji kuiomba wala nini.

Nilikuwa napitia thread nyingine leo, ndg mmoja naye anafurahi kuwa baba, alihisi labda ni ulimbukeni wake kwa vile ni mtoto wa kwanza kwake, lakini nadhani feedback aliyoipata toka hapa jamvini imebadili mawazo yake, maana excitement aliyoipata baada ya kupata mtoto hua inampata kila mmoja aliye na wito wa kuwa mzazi.

Hongereni wanawake wote mnaokubali kutumiza mapenzi ya Mwenyezi Mungu kwa kuwa tayari kubeba mimba, kulea mimba na mwisho wa siku kujifungua kwa mapenzi yake. Na kwa wale ambao hamko tayari ama radhi kufanya kwa mapenzi ya Mungu itakuwa vema na msifanye mapenzi kabisa ili kwa namna nyingine pia mnaweza kumtumikia Mungu pia.

CC [MENTION]Ablessed, Kongosho, gfsonwin[/MENTION] na kwa wale ambao hamko kwenye ndoa bado msikate tamaa Mungu yuko pamoja Smile
 
Last edited by a moderator:

ila it needs a heart to handle whatever happens in this time of prgnancy..unaweza ukavaa,ukala na ukafanya kitu ambacho huwez kuja kukifanya after kujifungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…