Amen RA. ...MAULANA ATUSIKIE KILIO CHETU. ...nchi ilikuwa inauzwa. ..utaichukiaje nchi yako mwenyewe kiasi kile. ..wanyama wetu mbugani wanauzwa kama mchicha. ...ehh MOLA WANGU. ..I will never miss him as a leader.
He was very weak and corrupt. full of nepotism for his friends and those around him. Damage aliyoisababishia nchi yetu will not be fully understood mpaka labda miaka mingi ijayo.....
Muuza vitumbua mie kupiga dili wapi na wapi na mm?Na kweli mkuu matendo yake tuliyaona kuanzia bandarini,migodini,mbugani,wizarani,hospitalini,shuleni na kwingineko na mpaka kwa Faru John,twiga walopanda ndege,aisee,full vitendo mkuu
Wewe unayekebei wenzio una biashara gani unayofanya ? kama siyo kupewa ujira na airtime kwa kukaa kwenye mitandao na kujibu kila posit inayohusu kero za watu! Unajishaua wakati unajaza tu request form!Jpm amekomesha mliozoea kubebwa mgongoni wakati miguu ya kutembelea mnayo

HaswaaMasanja , masanja! nepotism ipo kila wakati!... sema kwa vile wewe ni masanja!...
Ulisema naondoka mie mnasema mpole anakuja mkali..Sasa tunaisoma namba! Mswahili wewe ulijaa masikhahara na hekima ya hali ya juu ama hakika nimeelewa thamani ya kitu haijulikanagi mpaka ukikose we're really miss your style!
MtajichekiWewe unayekebei wenzio una biashara gani unayofanya ? kama siyo kupewa ujira na airtime kwa kukaa kwenye mitandao na kujibu kila posit inayohusu kero za watu! Unajishaua wakati unajaza tu request form!![]()
![]()
![]()
![]()
kweli aisee hawalingani.--Mzee wa ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya. Maisha bora kwa kila mtanzania.
-*Binafsi namkubali sana rais JPM wa hapa kazi tu.
YONDI!!Kwa hiyo 'Mandela' wa Arusha ni Mpiga Dili?
Du! Watu bwana...mna maneno yani Arusha keshazaliwa Mzee Madiba mwingine!!!!!!!inabidi tuitangazie dunia 'Ajabu la nane la dunia limepatikana Tanzania'Kwa hiyo 'Mandela' wa Arusha ni Mpiga Dili?