miss mbuja
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 421
- 259
Wapiga dili ndiyo wamemmiss that man!
WAKATAA KUIGIZIWA SAUTI YA MAGUFULI KWENYE HARUSINaandika huku natokwa machozi ya kweli ,kwa sauti ya wema sepetu (My daddy we real miss you,please come back DaDy)
Wapiga dili ndiyo wamemmiss that man!
--Mzee wa ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya. Maisha bora kwa kila mtanzania.
-*Binafsi namkubali sana rais JPM wa hapa kazi tu.
Ila kuishi kama shetani yataka moyo sana la sivyo kila mtu utamuona mbaya kwakoMaisha bora VS maisha ya kishetani
Wewe unachagua maisha gani![]()
![]()
JK ni mtu wa vitendo sio maneno mengi yenye unyume na kigeugeu
Mpaka sasa hv ameshatutengeneza vyakutoshaSijawahi kumkubali JK,nawakubali watu strong walio serious,big up JPM,tutengeneze baba!!
Ha ha ha Sepetunga..Naandika huku natokwa machozi ya kweli ,kwa sauti ya wema sepetu (My daddy we real miss you,please come back DaDy)
Kwa hiyo 'Mandela' wa Arusha ni Mpiga Dili?
Lumumba at work!na bado za kirumi!mpaka mseme poooooo.......!!!
Tumeshatengenezeka jmn hahaha mwshoe tutapinda sasaSijawahi kumkubali JK,nawakubali watu strong walio serious,big up JPM,tutengeneze baba!!
Jk yupo kazini badoKila mfalme na enzi zake na yeye alifanya alivo weza apumzike sasa.
Pole mkuu kama na wewe ulikuwa mmoja kati ya wapiga dili wa nji hii,lazima umkumbuke Mzee!
Na kweli mkuu matendo yake tuliyaona kuanzia bandarini,migodini,mbugani,wizarani,hospitalini,shuleni na kwingineko na mpaka kwa Faru John,twiga walopanda ndege,aisee,full vitendo mkuuJK ni mtu wa vitendo sio maneno mengi yenye unyume na kigeugeu
Kazini kivipi!!?Jk yupo kazini bado