mwasita
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 371
- 377
Naondoka mie tumeleta chuma hiki.
Pale nilipochoka mie yeye sasa anakwenda kwa kasi.
Anazo nguvu za kutosha kuliko mie.
Na mlikuwa mnasema mie mpolempole hivi. Sasa mabadiliko ni kuleta mkali.
Na ameanza kutema checheeeeeeeeeeeeee (In JK voice)
Shukrani sana kwa kutuletea huyu wa sasa!
Na kweli anatema cheche!