Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,650
Ulianza vizuri ila umemaliza vibaya kabsa.--Mzee wa ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya. Maisha bora kwa kila mtanzania.
-*Binafsi namkubali sana rais JPM wa hapa kazi tu.
Maisha bora VS maisha ya kishetaniUlianza vizuri ila umemaliza vibaya kabsa.

Maisha bora VS maisha ya kishetani
Wewe unachagua maisha gani![]()
![]()
Asieee umenichekesha sana mpka nimecheka kwa sauti hahaaaaaaaNaandika huku natokwa machozi ya kweli ,kwa sauti ya wema sepetu (My daddy we real miss you,please come back DaDy)
Ukiona ngoma inavuma sana ujue inataka kupasuka "cheka sana huwenda kesho tukafatwa huku mtaani"Asieee umenichekesha sana mpka nimecheka kwa sauti hahaaaaaaa

Daahhh acha kabisa mkuuUkiona ngoma inavuma sana ujue inataka kupasuka "cheka sana huwenda kesho tukafatwa huku mtaani"![]()
![]()
![]()
![]()
JK ni mtu wa vitendo sio maneno mengi yenye unyume na kigeugeu
Masanja , masanja! nepotism ipo kila wakati!... sema kwa vile wewe ni masanja!...I will never miss him as a leader.
He was very weak and corrupt. full of nepotism for his friends and those around him. Damage aliyoisababishia nchi yetu will not be fully understood mpaka labda miaka mingi ijayo.....
Wakina Masanja,Nyanda,Maganga,Masalu,Kabula,Masanyiwa will miss JK silently.....trust me, mateso,shida na njaa hayana kabila.I will never miss him as a leader.
He was very weak and corrupt. full of nepotism for his friends and those around him. Damage aliyoisababishia nchi yetu will not be fully understood mpaka labda miaka mingi ijayo.....
Ndugu unatusababishia kichefuchefu.