I.Q ya mtu mlevi ni ya juu kuliko ya yule asiyekunywa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I.Q ya mtu mlevi ni ya juu kuliko ya yule asiyekunywa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiroroma, May 20, 2009.

 1. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2009
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Wadau katika utafiti nilioufanya kwa kipindi cha miaka 20 sasa ni kwamba nimegundua kuwa wanywaji wengi watoto wao huwa na I.Q ya juu zaidi kuliko ya wale ambao hawaonji kabisa pombe.Jaribu haya yafuatao;
  Kwanza,Watoto mnaowaita vipanga darasani historia ya wazazi ni wanywaji au babu/bibi zao walikuwa wanywaji.

  Pili,Wale tunaotoka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambako gongo ni pombe ya kawaida,angalia analysis yetu ni tofauti na wale watokao ukanda wa kati.
  Tatu,Warusi wengi ni walevi na darasani ni moto wa kuotea mbali.
  Nimekusanya data nyingi na michanganuo tofauti kutoka sehemu mbali mbali za dunia nami nimefikia conclusion kama hiyo.Wadau kwenu kwa data zaidi.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kiroroma
  Member
  Join Date: Fri Feb 2009
  Location: Lady Brand, RSA
  Posts: 38
  Thanks: 5
  Thanked 19 Times in 8 Posts

  "Thinking is the hardest work there is,
  which is probably the reason so few engage in it."


  Kule vijijini kwetu zamani ilikuwa ukienda kutibiwa kwenye Zahanati, utamsikia Mganga au Nesi, baada ya kumsikiliza aliyekuwa mbele yako, akisema: MWINGINE!, na ni hapo tu unaingia kuonana naye.

  Its high time i now call... MWINGINE!
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Absolutely 120% true....hata hapa JF angalia member tunaotoa hoja makini jaribu kuulizia utakuta tunakunywa pombe.....
   
 4. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  mjumbe wa maasi huwa anahubiri pombe.
  I dont buy that.
   
 5. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  :rolleyes: Utafiti wako babkubwa-uliufanyia katika baa gani?:):cool:
   
 6. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Mhhh!!!!????
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  This sounds like a PhD thesis! Nimeupenda huu utafiti 200% hebu nidondoshee machapisho yaliotokana na hii kazi....briliant ....Kudos..
   
 8. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu,nilikuwa sijajua siri ya mafanikio yako,sijawaona konyagi na Kibunango kuunga mkona hoja.
   
 9. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Makonyagi yuko wapi?
   
 10. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kama mzazi si mlevi, je akipata mtoto anaweza akaanza kumu-nywesha japo bia moja kila siku awe kipanga? hahahahhhhhahhahahaaaaa
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  May 20, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mimi siyo mlevi na hoja zangu ni za uhakika. Kama unabisha angalia idadi ya asante nilizopata hadi kufikia sasa...
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Lazima ni mlevi wa kutupwa.....ndo maana hoja zako unafikiri za uhakika!
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Silly thread..MODS do us a favour, ipelekeni hii kule inapostahili kwenye Udaku, Habari za Kutunga na Utani.
   
 14. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #14
  May 20, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  100% nakubaliana na mtoa hoja..........
   
 15. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #15
  May 20, 2009
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Completely not true at all
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  May 20, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mtindio

  Hututendei haki tuliochangia positively hii thread!
   
 17. Kiteitei

  Kiteitei JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2009
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 1,253
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  shshhiii! mnazungumzia bia au pombe!?
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  May 20, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Whiskeys and wines!
   
 19. Kiteitei

  Kiteitei JF-Expert Member

  #19
  May 20, 2009
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 1,253
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Breaking News: Gari la kusambaza bia lapata ajali mnazi mmoja, dsm

  ngoja niwahi mnazi mmoja nikalianzishe
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nadhani kuna watu leo watalala muhimbili kwa alchohol intoxication!
   
Loading...