Taeki-1africa
Member
- May 19, 2012
- 23
- 3
Nimechaguliwa Rural development sijui future yake yaani unakuwa nani na unafanya kazi gani na ktk sector gani nisaidieni
Google ina jibu la kila kitu kasoro kuleta mvua tu.
Unachowaza kiandike mule kwa kidhungu watakujibu.
Ndio wapi huko?Sumbawanga uki-Google, mvua yaja ati.
Huyu akili zinamtosha kwenda SUA kweli au?
Narudi tena,Dogo kama umepata muda wa kusikiliza vizuri hiyo mimbo niliyokupa hapo juu nadhani unaweza kuwa umepata japo jibu kidogo lakini kikubwa nachoweza kukuambia ni kuwa ridhika na Kozi uliyoipata nenda kasome mengine yatafuata,na nisisikie tena eti umemaliza kozi yako kisha unataka kuishi Dar sitakuelewa,halafu [MENTION=80055]Madame B[/MENTION] msiri wangu ujue nakutamani kweli,hata sijui siku tukionana nani atakayempa adhabu mwenzieee..