I missed you jaman!!!!!

hapo tandale kwa tumbo ndo unapaita ughaibuni hahahaha ok
katafrahi kaletee juba maana ni kaarabu kanaitwa mulhat lol
Nimefichwa tu huku ughaibuni. Kazi nyingi kiasi kwamba nakosa hata muda wa kuingia JF. Narudi Tanzania next month kuhesabiwa!! Ngoja nikitafutie kajomba dhawadi!!
 
Cantalisia hivi ulipoondoka uliaga kweli naona miaka mingi imepita lol
wellcome back mamy
 
Last edited by a moderator:
Cantalisia... Mie ni mzima wa afya! Furaha tele kukuona... Welcome back dear...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…