I miss you.....I miss you too...I miss you more....I miss you most.....

Jamani nauliza tu kutokana na observation yangu na lived experience yangu. Hivi kwa nini mtu anapokwambia kuwa ameku-miss na wewe almost automatically utamwambia 'I miss you too'....Je ina maana kwa vile wewe hukuanza kumwambia kuwa umem-miss basi 'I miss you too' yako si ya kiaminifu, kwamba haijatoka moyoni kwa hiyo hukuimaanisha. Umesema hivyo kwa vile tu yeye kasema kwanza?

Kwa uhakika siyo "sincere" Ni mazoea ya "Kitanzania"

Swali: Habari ya Asubuhi? Jibu: Nzuri (hata kama mtu hajapata kifungua kinywa au ana Homa)!

Q: How are you? A: I'm fine senkyu (regardless)


Ni mambo ya mazoea na hakuna u-"sincere" wowote
 
mambo ya kucrame hayo na ndio maana hata mtu akisema happy birthday man mtu ana respond the same to you. Au mwalimu alikuwa anafundisha shule yenye blackboard nyeusi hata akineda sehemu kuna wa kijani husema have u seen what the point I have just made on the blackboard?
Kamanda umenifurahisha sana. Unanikumbusha jamaa mmoja aliyeulizwa na mwalimu wake kama ana kawaida ya kusafiri sehemu tofauti mara kwa mara. Jamaa akajibu, huwa nasafiri sana. Mwalimu akamuuliza tena, kwahiyo wewe unaijua sana Jiografia? Jamaa akajibu, naijua sana, tena kwa taarifa yako nilipokuwa nakuja hapa, gari iliharibikia hapo jiografia tukakaa hapo kama nusu saa hivi!
 
HEHE SIKU MOJA NILIPIGWA HIYO,``I MISS YOU``,NIKAITIKIA ME TOO,OOH WACHA JAMAA AKURUPUKE `YOU MISS YOURSELF TOO?? IKABIDI NIYAYUSHE`OOH NO I MEAN I MISS YOU`.BTW NILIKUA SIM-MISS WALA NINI:painkiller:
 
Daa,yaani umesema kweli kabisa..hata mimi huwa nashangaa ni lazima atajibu hivyo tu,hata ukimwambia Nakupenda naye atakujibu nakupenda pia..Hivi ni lazima kujibu hivyo?
 
HEHE SIKU MOJA NILIPIGWA HIYO,``I MISS YOU``,NIKAITIKIA ME TOO,OOH WACHA JAMAA AKURUPUKE `YOU MISS YOURSELF TOO?? IKABIDI NIYAYUSHE`OOH NO I MEAN I MISS YOU`.BTW NILIKUA SIM-MISS WALA NINI:painkiller:

ha ha ha!umenichekesha mpaka basi...
 
Back
Top Bottom