I miss you.....I miss you too...I miss you more....I miss you most..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I miss you.....I miss you too...I miss you more....I miss you most.....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyani Ngabu, May 25, 2010.

 1. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #1
  May 25, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Jamani nauliza tu kutokana na observation yangu na lived experience yangu. Hivi kwa nini mtu anapokwambia kuwa ameku-miss na wewe almost automatically utamwambia 'I miss you too'....Je ina maana kwa vile wewe hukuanza kumwambia kuwa umem-miss basi 'I miss you too' yako si ya kiaminifu, kwamba haijatoka moyoni kwa hiyo hukuimaanisha. Umesema hivyo kwa vile tu yeye kasema kwanza?
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,754
  Likes Received: 82,696
  Trophy Points: 280
  Kama kweli mnapendana sana na mna mawasiliano ya kila siku ama ya kuwa pamoja, kuongea kwa simu n.k. basi ikitokea hamjaonana au kuongea kwa siku mbili tatu hali huwa hivyo kwamba kila mtu ana mmiss mwenziye...na hata I love you na mwingine ataongezea I love you too.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  May 25, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Lakini Bubu, ninachosema mimi ni kwamba, tuseme wewe na demu wako na hamjaonana wala kuwasiliana kwa siku kadhaa na pengine labda wote mlikumbukana ktk kipindi hicho cha ukimya. Mkaja mkawasiliana na demu akakwambia 'I missed you' na wewe ukamwambia 'I missed you too'....ina maana 'I miss you' yako siyo sincere kwa vile hukuanza kusema wewe hiyo 'I miss you? Kwangu mimi haijalishi nani kaanza kusema.....
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,754
  Likes Received: 82,696
  Trophy Points: 280
  NN, kwa Wapendao sidhani kama wanajali ni yupi kaanza kutamka hayo maneno...wakati mwingine unaweza ukatamka wa kwanza na wakati mwingine yeye anaweza kuyatamka wa kwanza na wala kusiwe na league kati yenu na mmoja kumuuliza mwenzie mbona hukuniambia kama umenimiss hadi mimi nilipokwambia hivyo.
   
 5. JM Aristotle

  JM Aristotle Senior Member

  #5
  May 25, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bwana NN, hapo umenena...
  Mimi kwakweli sidhani kama, "I miss you too..." iko sincere... Inatokea automatically tu kwamba mtu akikwambia hivyo, basi na wewe unamjibu vile...
  Lakini kwa upande mwingine pia, hebu imagine; Mtu akakwambia, "I miss you", halafu wewe usimjibu chochote, au ukaishia kusema, "thank you", hauoni kama, anaweza akaingiwa na wasiwasi kuwa; hili lijamaa halinijali wala nini... Unaionaje hiyo???
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Nyani Ngabu naona umeamua kweli kweli ni penzi gani hilo linakuchanganya ? naona msimu huu umeibuka na matopic ya malav dav tu ...kulikoni?
   
 7. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  mambo ya kucrame hayo na ndio maana hata mtu akisema happy birthday man mtu ana respond the same to you. Au mwalimu alikuwa anafundisha shule yenye blackboard nyeusi hata akineda sehemu kuna wa kijani husema have u seen what the point I have just made on the blackboard?
   
 8. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  What is happening to NN? JUST CURIOUS!:yuck:
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  May 25, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Aaaah wee acha tu! Haya mapenzi yananidatisha
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  May 25, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  I need love
   
 11. bht

  bht JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  aaah mi huwa inanipa tabu sana, najilazimisha tu kumwamini mtu anayenijibu ati......i missed you too.....

  mbona hukuniambia kabla sijasema??
  what if mtu anakwambia 'I missed you' na wewe wala hukum-miss? utathubutu kusema at....'I did not miss u'?
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  May 25, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Things that make you go hhmmmmm............
   
 13. bht

  bht JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  did you sleep well SM??
   
 14. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ulilala na nani jana mpwa maana leo hizi topics unatuswalika kiajabu ajabu!
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  May 25, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  I slept like a baby.........
   
 16. bht

  bht JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  I can imagine................
   
 17. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Oooooh now I see!

  Ok whatever happened kwa mzee wa mbinu nyingi! Can't he use his tricks to "get" LOVE? :rolleyez:
   
 18. JS

  JS JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  :confused3::rolleyez:
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  May 25, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Sugar Cake...are u ok?
   
 20. JS

  JS JF-Expert Member

  #20
  May 25, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Am good NN unanichanganya na posts zako tu hapa mwana wa mwenzio
   
Loading...