I miss you gfsonwin, where are you?

I miss you gfsonwin, where are you?

Status
Not open for further replies.
Ubarikiwe sana Mkuu, dunia inahitaji binadamu kama wewe Kaka Mkuu, Mr Rocky na OLESAIDIMU na wenye tabia zifananazo na tabia zenu. Ingekuwa hivi nadhani tungeweza kupunguza 60% ya matatizo yanayoikabili dunia hii.

Mkuu BAK asante sana mkuu
Ukawe na jioni njema na ukapate sana kubarikiwa mkuu pamoja na Tized na OLESAIDIMU
 
Last edited by a moderator:
Ubarikiwe sana Mkuu, dunia inahitaji binadamu kama wewe Kaka Mkuu, Mr Rocky na OLESAIDIMU na wenye tabia zifananazo na tabia zenu. Ingekuwa hivi nadhani tungeweza kupunguza 60% ya matatizo yanayoikabili dunia hii.

Kaka BAK nashukuru sana ila mimi kuniweka na waalimu wangu wa ustaarabu unawashusha sana hawa Mr Rocky na Tized. Ningekuwa nusu yako tu kaka ningalikuwa miongoni mwa watu wa haiba bora
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahaaaa cna uhakika ni miez mingap gfsonwin atakua anajua si alinipima nasubir aje aseme ni ya miez mingap maana yeye ni nurse wa jf
Huu wote ni uchokozi!
Kwani umeulizwa?
Acha tabia za kiswahili wewe!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom