I miss you gfsonwin, where are you?

I miss you gfsonwin, where are you?

Status
Not open for further replies.
Kama sio busy darasani basi kabadili ID toka ile issue ya kibendi

Hahahahaaaaa mkuuu.......afu ujue kibendi chang kishakuaa nasubir kije kupimwa kwa mara nyingne tena
 
Pole na hongera sana kwa majukumu Mkuu.. Nafurahi kukusikia. Mungu ni mwema naendelea vyema sana kaka.

Salaam sana huko kaka.

Shukrani ndugu yangu amani ya Muumba itawale yaliyo mema juu yako!!
 
Mkuu BAK am always humbled hearing from you great man.

Nashukuru sana mkuu niko salama na wekend imekua njema sana. Nikutakie usiku mwema sana nawe.. ukawe na wiki ya mafanikio sana

Cheers!!

Heshima yako Mkuu Tized, natumai weekend yako ilikuwa poa kabisa na yenye mapumziko ya kutosha tayari kwa wiki nyingine ya kulijenga Taifa. Nakutakia usiku mwema Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Kiukweli nimeimisi sana michango ya huyu mwana dada hapa MMU.

Nimmoja wa wana JF ambao nawakubali sana kwenye kutoa nasaha na kuchangia mada mbali mbali hapa jamvini.

Tafadhali popote pale ulipo, naomba ujuwe kwamba tumekumisi sana hapa jukwaani (MMU).

Umesema unam-mis halafu unasema tunaku-mis au unam-mis kwa multiple ID's zako?
 
Ahsante sana Mkuu Tized. Nafurahia kusikia kwamba weekend yako ilikua njema, nawe pia uwe na wiki yenye mafanikio Mkuu.

Mkuu BAK am always humbled hearing from you great man.

Nashukuru sana mkuu niko salama na wekend imekua njema sana. Nikutakie usiku mwema sana nawe.. ukawe na wiki ya mafanikio sana

Cheers!!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom