Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,099
- 127,838
miss chagga mke mwenzangu wa kudumu maana tunakutana kote...njia kuu hadi michepukoniWe hujipendi weye...! Huyo miss chagga umemsahau?
Last edited by a moderator:
miss chagga mke mwenzangu wa kudumu maana tunakutana kote...njia kuu hadi michepukoniWe hujipendi weye...! Huyo miss chagga umemsahau?
Ntuzu hebu ongea tena kwa sauti nikusikie maana sijakusikia vyema kabisa hapa unaongea nini au kuna upepo sikusikii vizuri Dena Amsi usiwasikilize hao bado mimi nakupenda sana my wife wangu na huku mjini miss chagga kashachukuliwa na wengine wenye pesa naibia ibia tuu Khantwe mzima weweDena Amsi Miss u so much na Unajua mi nakupenda sn Dena Amsi Yani Hapa nilipo niko njiani Nakuja Huko shamba tuchunge ng'ombe wote na kuvuna mahindi.... Haiwezekani Huyu jamaa Mr Rocky akuowe alafu yeye akuweke maporini then yeye akae mjini anajivinjari Na kina miss chagga.
Mr Rocky tulikubaliana nitafute pesa ya kirisimasi sasa unanikana ukoje wewe?Ntuzu hebu ongea tena kwa sauti nikusikie maana sijakusikia vyema kabisa hapa unaongea nini au kuna upepo sikusikii vizuri Dena Amsi usiwasikilize hao bado mimi nakupenda sana my wife wangu na huku mjini miss chagga kashachukuliwa na wengine wenye pesa naibia ibia tuu Khantwe mzima wewe
Ntuzu mimi ni msaidizi wa Khantwemiss chagga mke mwenzangu wa kudumu maana tunakutana kote...njia kuu hadi michepukoni
Mr Rocky tulikubaliana nitafute pesa ya kirisimasi sasa unanikana ukoje wewe?
miss chagga si tunatafuta wote aise si unaona xmass inakaribia aise
Zichange bana tukakutane kule mndenyi na akina Tized na kiwatengu
Tuwaachie akina utafiti na Mndengerekona Khantwe na Ntuzu na kabanga na bysange na mshanajr mji wao na fujo zao
Owh unanipa furaha honey
Ntuzu hebu ongea tena kwa sauti nikusikie maana sijakusikia vyema kabisa hapa unaongea nini au kuna upepo sikusikii vizuri Dena Amsi usiwasikilize hao bado mimi nakupenda sana my wife wangu na huku mjini miss chagga kashachukuliwa na wengine wenye pesa naibia ibia tuu Khantwe mzima wewe
Aisee we mtu unafanya gani kwenye hii honeymoon yangu na Mrs wangu mamaafacebook. Siku nyingine usipobisha hodi ntakukutanisha na Bwana Pepsi.
Halooooowwwww chezeeaaaa kibabu changu weweeeee!!!!
Afu na wewe ukuje nikukague. usije ukanitia aibu ukweni.
Babu niamini mjukuu wako namdatisha mtu.Nampa mambo ya pwani kwa hilo hata usijali
Mi ni Tomaso. mpaka nithibitishe mwenyewe.
Aisee we mtu unafanya gani kwenye hii honeymoon yangu na Mrs wangu mamaafacebook. Siku nyingine usipobisha hodi ntakukutanisha na Bwana Pepsi.
Mkuu Asprin aise nisamehe bana niliingilia honeymoon yako na mamaafacebook bila hata hodi si unajua tena akina miss chagga wakiniona tuu sehem wanapagawa aise
hahahha naona unazidisha juhudi upate mgao wa penshen kwa babu, kwa hii njia umemuweza!!!! Ila usisahau michepuko yako ya zamani, you are stil loved lol!!!
Babu Asprin ana kismat yani na uzee wake lakini anang'oa vyombo vya hatari
wapi weweeeeee...... wanainyemelea pension ya kustaafu... kama unabisha muulize Junior. Cux
Thubutuuuuuu. Mi mkulima na pensheni ya kustaafu wapi na wapi?