I miss you asprin

I miss you asprin

ahahahhah mashairi yako mie hoi mr
najua kua wajua,
Kazi yangu ni murua,
Furaha kukupatia,
Ndio niliyochagua.

Watasema watachoka,
watanyoa watasuka,
watapanda watashuka,
Mimi kwako sitatoka.
 
Back
Top Bottom