I miss you asprin

I miss you asprin

Last edited by a moderator:
Usisikilize ya watu Mrs, tutagombana bure wapate faida.[/QUOTE]

Katu hatugombani kwa maneno ya jirani waseme had midomo igeuke hawawez kutubadili nafs zetu
 
Naona kama vile hujipendi unachokoza nyuki wewe?? Shauri yako....

Dena Amsi Miss u so much na Unajua mi nakupenda sn Dena Amsi Yani Hapa nilipo niko njiani Nakuja Huko shamba tuchunge ng'ombe wote na kuvuna mahindi.... Haiwezekani Huyu jamaa Mr Rocky akuowe alafu yeye akuweke maporini then yeye akae mjini anajivinjari Na kina miss chagga.
 
Unaondoka lini nikuandalie safari?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom