i remember somebody started a thread asking whr have u been...
hapo umenena,wengine wananipa pole kavu kama zinasaidia vile!
Unatumia namba ile ile ama?
khaa babu una maneno,unaishi mbagala nini?
Wow! Kabakabana.Fantastic to see you again. Kusema kweli mimi ndiye nilianzisha thread ya kukutafuta maana JF ilianza kukosa mvuto kwangu ulipokosekana. Pole kwa yote yaliyokupata na karibu tena. Thread hiyo iko hapahapa chit chat inaitwa 'Kabakabana uko wapi? Kama haipo page 1 itakuwa pg 2.
Ile ile sweetheart lakini si unajua niko prison -Guantanamo bay
Cantalisia...Unawapandisha watu mzuka bana...Niko nae hapa nampatia cha mchana!!!
Hee,kwa hiyo ndio Ushamtosa shem wetu uporoto??
Orait my husband,just come this way.............yes dia,there ur..............!:A S-heart-2:Cantalisia...Unawapandisha watu mzuka bana...
tuendelee zetu kujifaidia my wife!!
am in dia...Orait my husband,just come this way.............yes dia,there ur..............!:A S-heart-2:
Wala hakukagua alinambia nimechoka eti yaani huyu babu ana mabalaa tupubabu alikuwa anaendeleza ukaguzi,hachoki kunikagua jamani.wewe alikukagua mara ngapi?
Jaman mme wangu,ikishaingia mimba moja haiwezi kuingia nyingine mpaka nijifungue,am in dia...
Tarehe hizi ni mbaya kumbuka, angalia usipate :mimba::mimba:
Cantalisia...Unawapandisha watu mzuka bana...
tuendelee zetu kujifaidia my wife!!
Wala hakukagua alinambia nimechoka eti yaani huyu babu ana mabalaa tupu
Jaman mme wangu,ikishaingia mimba moja haiwezi kuingia nyingine mpaka nijifungue,
Dont worry my dia itabaki hii hii iliyopo mpaka nikijifungua so just enjoy tha game darling!!!
Am very delighted to be back.,Mtaji wangu ulikufa na kibanda changu cha nyanya kilikumbwa na mafuriko moshi.
But all in all i missed you guys!
Pole sana Kebby maana mapenzi haya mpaka tunajisahau lol!na mmenipandisha mzuka kweli,na hiki kibaridi nilivo mwenyewe hapa dah
Hhaha hahha haha,makubwa tena haya
khaa babu una maneno,unaishi mbagala nini?
Babu Anakaa kwa mtogole ..harafu Kabakabana ukipotea na Babu anapotea Ukirudi na yeye Asprin anarudi
Mlikuwa wapi?
babu alikuwa anaendeleza ukaguzi,hachoki kunikagua jamani.wewe alikukagua mara ngapi?
Wala hakukagua alinambia nimechoka eti yaani huyu babu ana mabalaa tupu
Gossiping behind babu's back?:gossip::majani7:hahaha chezea ODM weewe?ana vibweka vya kila aina
Kila siku nikiangaliaga avatar yako naikosea jibu....na mmenipandisha mzuka kweli,na hiki kibaridi nilivo mwenyewe hapa dah