I miss my ex man so much jamani

wanawake acha tu tunyanyaswe...
acha tu....
yani unataka kupasha nae kiporo?
unataka uonje biringanya kwa mara ua mwisho...eti kuagana.....serious?
Mimi mpaka naogopa kuoa

Mungu Ni Mwema
 
huu Mwandiko huu toka uzi wa bwana wa kibotswana tayari tusha connect dots..

Your aren't in shadow anymore reveal yourself before hatuja disclose ID yako ile ya zamani

[emoji41] [emoji41]

Sent from my iphone 6s using Jamii Forum Mobile app
 
Afu mwanamke utasikia oooh i need man anaejielewa sijui nini

Mungu Ni Mwema
 

Kwa akili yake anaamini kwakuwa kabadili ID basi hatagundulika!!!
 

Unajianika nyamaza tu utunze heshima kidogo kama ipo, biashara matangazo
 
Aisee kwa mwendo huu bora kubaki peke yangu maana mbotswana anahisi anapendwa anapiga show kumbe mawazo ya mdada kwa E.
 
Sasa sisi tufanyaje,,mfate alipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili yake anaamini kwakuwa kabadili ID basi hatagundulika!!!
Mbona wajanja tumesha fanya analysis ya data zake tumejua mwaka huu kafungua ID mbili moja ya kutafuta mchumba, ya pili ndio hii ya kuomba kupasha kiporo na x wake 'E', na ule uzi wa kushukuru kampata Mswana. Anayo pia ID aliyofungua mwaka 2010. Kuna taarifa zake nyingi tumezipata kutokana na makosa yake ya kiufundi ktk matumizi ya mtandao. Kuna blander amefanya ambazo ameji-expose sana ID zake zote bila kujua/kujuwa. Isingekuwa kuheshimu sheria za JF tungeweka ID zake zote hadi angeshangaa. Nikipata fursa nitamuelimisha kupitia PM kumulekeza wapi kakosea.
 
It worked out nyie endeleeni kumwaga mapovu hapa kama mmekula kiwanda cha omo (in zarithebosslady's voice)
 

Mkuu ni pm ni nani huyu malaya?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…