I miss my ex man so much jamani

Sawa lakini hiyo ya ku disclose kuwa mwezi march 2018 atafunga ndoa na m Botswana haoni ambaye naye ni member wa JF haoni kwamba jamaa akisoma thread yake atamstukia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanawake acha tu tunyanyaswe...
acha tu....
yani unataka kupasha nae kiporo?
unataka uonje biringanya kwa mara ua mwisho...eti kuagana.....serious?
Alielala na bi harusi,siku moja kabla ya harusi,bado mnanishauri harusi
 
Kama upo makini huwezi kumkumbuka X wako ,nafikiri bado unaota utamu wa penzi na kufikishwa kileleni Mkuu
 
Ukisoma maelezo yako tu kwa harakaharaka unagundua kwanini uliachika.
 
Hawa ndio wanawake wa kiafrica hawajui kumove on namwonea huruma sana hyo mbots huyu akikutana na huyo X wake lazima atoe unyevu tu sijutii maamuzi yang ya kuwadharau wanawake wa JF kwa kuligeuza jukwaa la chitchat na MMU kama tawi la badoo
Hahah eti tawi la badoo,umetisha mkuu.
 
Ina maana huyo uliyenaye hajakufikisha kileleni??
 
Ndio nilikumwaga na yale matusi yako na kashafa ulizotoa baada ya kuachana nazikumbuka na sikurudii ng'o, hujatulia mpenzi kicheche

Heshima pesa
 
Jiheshimu asee,usije kuniharibia ndoa yangu.We si nlitaka kukuoa ukazingua,leo unajifanya una nimiss.Kwendraaaa uko
 
Hahahahah, doh humu ukiwa na stress ukiingia zinaisha,yaani wewe binti ni kiboko nimependa ulivyofunguka,
Hivi lakini siku hizi kwanini mod hawaziunganishi multiples IDs tufaidi vizuri.
 
Toa uzinzi wako hapa,umeshindwa kuficha umalaya wako umeamua kutuwekea nasisi hapa??au ndio biashara matangazo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…