I m a computer Engineer but I can't even hack a facebook account

Nimeanza kwa umombo kwa title hapo juu. Nina degree ya uhandisi katika hii fani pendwa....

Nilikuwa mtu wa Mungu Sana wakati napiga security. Sasa katika eneo la ku compromise Akaunti za watu niliona natenda Dhambi.

Nawaza sana watu wanaodukuana.
Mimi sinauwezo wa kuhack hata Akaunti ya facebook. Achilia mbali kusoma message za watu kwenye simu zao.

Kubwa zaidi ni security ya mitandao hapa Tz iko unsecured 50++ percentage...

Nije na kaushauri...someni sana security maana ulinzi ni uhai..
Naomba niseme ningekuwa IT mimi hata yule GOGOKI kule Twitter asingefua dafu....

Mungu nipe uzima tutakutana kwenye technology
 
Mleta mada kama wazazi ndio walikusonesha pesa zimepotea bure kama ni serikali ilikusomesha pesa zimepitea bure kazi ya ku hack sio ya computer engineer ni ya Software Engineer yaani unatia hadi huruma hujui hata tofauti ya Computer Engineer na Software Engineer very sad .
Screenshot_20210404-104157.png


Yaani wewe ni mjinga hadi basi degree yako unatakiwa kunyanganywa
Asante Mkuu njoo uichukue tu ikusaidie wewe. Waelewa waelewa tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom