I’m 40-Years-Old today

hongera sana mkuu, Mungu akujaalie ufikishe 100 na zaidi.
 


mark my word tutakutana baada ta 60yrs to come
 
Happy Birthday Mkuu.. Soon nitasheherekea ya kwangu.. 5 days from now.. bt 4 years more senior than u Mkuu..
 

Kwa akili yako unafikiri hizo juhudi zako ndo zimekufanya ufikie hapo!!?nani aliyekwambia kua kufanya kwako mazoezi ndo kunakufanya usiumwe?bado mwenyezimungu hajaamua kukupa mitihani tu wala usifikir ni ujanja wako!
 
Mie nina 43 yrs, nakunywa bia kila siku, min. 4 beers. Maji mengi, na kazi za office. Believe me, nina kakitambi dizain, lakni Mara ya mwisho niligua 1989, sijui kuumwa. Kila baada ya miezi mitatu nashindilia miti ya asili niliyofundishwa na Wazee nikiwa mtoto
Natembea mara mbili kwa wiki,some 4 Km au zadi. Kama ni hiyo 6 by 6 hapo ndo usipime, maana nina kitu ya Tanga, mzigo haulali bia kuguswa........
So nadhani niko fit, au unasemaje?
 
Duu miaka 40 mimi hapa ni kama mwanao aisee
 
Hongera sana director1
Mungu akuongezee miaka mingine kama hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana mkuu kwa kuwa muwazi
 
Hope all that you do, Turns out happy for you, And all that you wish
Comes your way, So each hour will bring Every wonderful thing, You could ask of a wonderful day
 
Unamuombea mwenzake aishi miaka 80 tu!! why not more than that????

Jamani what can you do when you are 96yrs au hata 106 (6x6 atakuwa bado anaiweza)? Ngoja afikishe hiyo 80 kwanza halafu nitamuombea miaka mingine kama hiyo yaani mambo kudouble double!
 
I had enough of running wild
I'm switching out my whole lifestyle
I don't wanna live the way I used to
I'm giving up the booty cause
Spinning C's at the ta-ta bars
No leaving with two or three girls to get me off

- All I need is one who's really down
Someone to turn this player's life around
Girl I feel like you could be the one
To make a difference in my life
Cuz I'm tired of living tripe



No rolling with an entourage
Celeb' style like a movie star
Sippin down with the ladies all around me
Laughing girls off at the way I was of the morning
Gettin' beeps from Milan and Delhi
A true player never gets a chance to sleep, no
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…