Tetra
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 1,526
- 771
::
Ewe ndege mwema,
Kiumbe unaesifika,
Maneno yako ya mizani,
Upendo uso kifani,
Huna wa kuwa mfano,
Kwa uzuri wa moyo,
Ee Lisa
I can't stop my love for you
::
Chini ya mti wa upole
Upepo usio na kelele
Tajiri wa tabasamu,
Kicheko cha kutia hamu,
Ee Munkari
Upo mtani wangu?
::
Haiba ya upole na utu
Ulojawa utaratibu
Naekuthamini humu
Nisiechoka kukupa dua
Ee Blue G
Upo ma best?
::
Binti ulieko sayuni
Uimbae tenzi za rohoni
Sauti ipasuayo angani
Ee Zion Daughter
I miss you
::
Ewe shina la urafiki
Urafiki ujengao imani
Guso lenye thamani
Kukusahau si rahisi
Ee Kaunga
I miss you
::
Enyi muijengao JF
Bahari pana ya upendo
Chit chat na mmu
Familia yenye hekima
Nawasalimu kwa upendo
AMANI IWE NANYI !!
::
The Boss King'asti colg saudari watu8 Swts Purple Heaven on earth Arushaone Baba V Passion Lady KOKUTONA
Na kila mmoja
=
Ewe ndege mwema,
Kiumbe unaesifika,
Maneno yako ya mizani,
Upendo uso kifani,
Huna wa kuwa mfano,
Kwa uzuri wa moyo,
Ee Lisa
I can't stop my love for you
::
Chini ya mti wa upole
Upepo usio na kelele
Tajiri wa tabasamu,
Kicheko cha kutia hamu,
Ee Munkari
Upo mtani wangu?
::
Haiba ya upole na utu
Ulojawa utaratibu
Naekuthamini humu
Nisiechoka kukupa dua
Ee Blue G
Upo ma best?
::
Binti ulieko sayuni
Uimbae tenzi za rohoni
Sauti ipasuayo angani
Ee Zion Daughter
I miss you
::
Ewe shina la urafiki
Urafiki ujengao imani
Guso lenye thamani
Kukusahau si rahisi
Ee Kaunga
I miss you
::
Enyi muijengao JF
Bahari pana ya upendo
Chit chat na mmu
Familia yenye hekima
Nawasalimu kwa upendo
AMANI IWE NANYI !!
::
The Boss King'asti colg saudari watu8 Swts Purple Heaven on earth Arushaone Baba V Passion Lady KOKUTONA
Na kila mmoja
=
Last edited by a moderator: