I love you !!

I love you !!

hivi bestito ulipotelea wapi wewe? nimekukumbuka sana na nimekumiss ile mbaya
sikukuona mwenzio nilvyokuwa nimeandaa shindano la waimbaji matata wa cc?
wala sijakuona kwenye shindano la mtu mwenye mvuto wa sura mbaya?
ni wapi bestito ulipotelea? au ulikwenda kwenye KILIMO KWANZA?
Mambo yanabadilika na majukumu yanaongezeka best.Ndio maana nashindwa kuhudhuria kama zamazi.Lakn nipo nipo sana tu.
Enheee!!Habari za uzima?
 
nzuri best wangu
ni kweli majukumu yakizidi ufanya mtu awe bize sana hayo yote ndo mambo ya maisha
bila kuhangaika wala kutafuta unafikiri utatokaje ulipo best? karibu tena mjengoni
Mambo yanabadilika na majukumu yanaongezeka best.Ndio maana nashindwa kuhudhuria kama zamazi.Lakn nipo nipo sana tu.
Enheee!!Habari za uzima?
 

thanx Tetra my dear
kwa maneno mazuuuriiii!!ubarikiwe sana!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom