I Love you too much Lamomy

I Love you too much Lamomy

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo ss hivi wanabugia??
Dah! Ila roho inaniuma tumepoteza mwanandugu kwa sababu ya sele nimelia sana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa hongera kwa kulipenda lishangazi mimi
Shabgaz ndo mzuri mana vitu vingine tunavumiliana tu. Sio vitoto vya 2000s unashangaa yameenea huko mitaani mara kibamia, mara gari linazima Zima. Wewe nipe Mimi tu
 
Back
Top Bottom