Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,946
Nipo home hapa nimerudi kutoka kibaruani nakula pilau la dada alilopika 🤣🤣🤣Upo wapi utujoin?
Nipo home hapa nimerudi kutoka kibaruani nakula pilau la dada alilopika 🤣🤣🤣Upo wapi utujoin?
Nipe location chap😅Nipo home hapa nimerudi kutoka kibaruani nakula pilau la dada alilopika 🤣🤣🤣
Daaah 🤣🤣🤣....Huyo Jack mtasha sana mi nitaachika ghafla bwanaKweli sikapendi toka kisutane siku moja na member mmoja hivi, nimekaona ka ovyo 🤣🤣🤣
Turudi kwa Jack huyo nimempitisha bila kupingwa, hiyo ya uzungu na uzaramo haihusu kikubwa mpendane. Jack Palladino nimekupa dada yangu. Napenda uwe shemeji yangu
Zaidi ya Maxence Mello kuna id nyingine unamjua aliye nyuma??Sijui nyuma ya ID ninani kiukweli
SoonSawa Tajiri....nasubiri mlio
Sawa Tajiri...nasubiri alert❤️
😜 nipo bonyokwa hukuNipe location chap😅
Hatareee!! Hivi walianza dose?
JF ina mambo mengi km series ya Spartacus huyu kampanda yule, na yule kapandwa na yule bas tafrani



yule kambong'olea huyu, huyu alibong'oleshwa na yulee, yaan full tafraniii.Mtawezana bana mi napenda muwe couple humu, halafu Jack hana mambo mengi 😜Daaah 🤣🤣🤣....Huyo Jack mtasha sana mi nitaachika ghafla bwana
Washa location.😜 nipo bonyokwa huku
Mtawezana bana mi napenda muwe couple humu, halafu Jack hana mambo mengi
Halafu usimsemee muache aseme mwenyewe![]()



mnanichanganya ujue nyie wana ndugu.😂😂😂😂 nimecheka mpk nimepaliwa udugu, washafungua na mkadi kumbe?? 🤣🤣🤣yule kambong'olea huyu, huyu alibong'oleshwa na yulee, yaan full tafraniii.
Wana kadi zao hapo CTC Amana. Woiiiih
😂😂😂😂 huamini?? Kweli niko bonyokwaWasha location.
Wasifungue? Wao hawaogopiiii?nimecheka mpk nimepaliwa udugu, washafungua na mkadi kumbe??
![]()








Udugu tumshawishi dada na Jack wawe pamoja, hutaki tuwe na shemeji wa kitasha?? 😂😂😂😂mnanichanganya ujue nyie wana ndugu.
Namuelewa sanaaaa mbona🤣🤣🤣Mtawezana bana mi napenda muwe couple humu, halafu Jack hana mambo mengi 😜
Halafu usimsemee muache aseme mwenyewe 😂😂😂
😂😂😂😂 kwahiyo ss hivi wanabugia??Wasifungue? Wao hawaogopiiii?
Files zao zipo huko, ni kuitwa tyuuh wakachukue kunde wabugieee.
Uduguu em huko,![]()