I Love you too much Lamomy

I Love you too much Lamomy

mmeanzaa sasa, khaaaah
Yani unajitahidi kuvuka level za uchachuaji lkn viumbe wazito wanakurudisha kilazima, hili dubwasha hata sijui limetokea wapi?? Lipo km sele 😂😂😂😂😂
 
😅😅😅😅 Hamis kaona paja kadata
Yani kila nikitaka kuacha vurugu lazima choco lijitokeze, sijui nifanyeje?? 😂😂😂😂
Kuna muda unachoka kugombana ila waja hawaridhiki
 
Back
Top Bottom