cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,296
niache tafadhali si mmeninyima mialiko. Jf Members wazuri na mnakomenti vizuri lakini wachoyo acha nicheki uefa.



afu leo barca na PSG wotee fungu la kukosaa, game haina maajabu.niache tafadhali si mmeninyima mialiko. Jf Members wazuri na mnakomenti vizuri lakini wachoyo acha nicheki uefa.



afu leo barca na PSG wotee fungu la kukosaa, game haina maajabu.si kikubwa tuangalie mpira sio mafungu 😂afu leo barca na PSG wotee fungu la kukosaa, game haina maajabu.
Mwenzio kanichekesha hapo juu mpk watu wananishangaa nilivyocheka kwa sauti
Udugu kachachuka leo



uduguu em huko, nilale mie.si kikubwa tuangalie mpira sio mafungu![]()



tokaa hapa, nenda Guangzhou ya kinondoni manyanya kwa babu zako ukasalimie huko.Halafu hawajifichi toleo jipya, sasa mwanaume mzima unajisifia mambo ya insta kweli?? Mi nilijua litasema linamiliki kampuni kadhaa nishtuke!! Kumbe anamiliki acc ya insta ya kujibrand alivyo mrembo 🤣🤣🤣🤣🏃♀️toleo jipya humu ni wengi, tatizo hawajikubaliii, wanataka mauzo kupitia kismati cha wenzao.
Uduguu kwann lakiniii?![]()
😂 sipajui kama unawajua ndugu zangu nipelekenitokaa hapa, nenda Guangzhou ya kinondoni manyanya kwa babu zako ukasalimie huko.
UEFA inakuhusu wee?
udugu hufai aiseee!! Yani tuliyoongea yote yameingia huku yametokea kule



uduguu taratibuuu.Chapati tunalo humu humu usiondoke udugu tumchachue mifungo yote ishaisha![]()




jamani toleo jipya wanafoc mauzoo mnoo. Sijui kwann hata.Ushabadilisha sio ww tena ndio mzuri insta wanakukula??!! Ww ujue utakosa wachati kwa nyodo zako
Kwahiyo iko kinge chako cha kujitongozeshea insta ndio unaona umetooka mwenyewe!! Mnajidanganya sana ww na wangese wenzio.
Sasa sikia kuna wachati wawili wamejitokeza unaondoka na yupi?? Au wote unawamudu wakupandie dau mrembo wa insta??





ila umejua kunichekesha leo



ila JF bhana, full manjegekaaa.Kwani bro huyu mrembo wa insta umemtoa wapi?? Anatufokea km sisi ndio tulimkopa khaaaa!!!
😂😂😂😂 best ulikuwa wapi leo?? Kuna uzi wako uko kuna raia kajivika mabomu anaiomba km anaimba reggaeMie Tena jamani?![]()
😂😂😂😂😂acha ukorofi
Heart imependa anatafuta bwana kinguvu.Kwani bro huyu mrembo wa insta umemtoa wapi?? Anatufokea km sisi ndio tulimkopa khaaaa!!!
Ah wapi.. hayo ya vijana, mm na age hii siwez kuwa na hizo. Although, sijakuwa attentive sana na kufatilia fatilia au kupenda kudet na wanawake wengi.
Yani kwa ufupi mm ni husband material![]()
Bando kakaIshu kunielewa au ishu ni bando? 😂😂😂
😁😁😁😁😁 Daaah coca ananianzaga tuu bila sababu...Coca kasema bajeti yako ya mwezi eti 😂😂😂
Sasa ww unamuitaje demu na hata pesa ya nauli huna jamani
Wacha wee, sasa sisy unaonaje Jack akiwa shemeji yangu
Mnapendezana kuliko kizee chako cha hovyo![]()




