Sijamkanaaaa!!! Ila sikuhusika kwenye ugomvi, kumbe nawee ulikua unadhamini ugomvi? Afu kwann ban itembee kwa baadhi na sio wote waliogombana? Huwa mnatafutia watu Ban kwa lazimaa?Dah unamkana udugu wako sio?![]()






Khaaaaaah!!! Kumbeeee???Nimekubali mkuu kama vipi tuliendeleze wafunge na huu uzi![]()





Na mimi namshangaa yani?? Kanikalia kooni sijui nilimfanya nini huyu mzee??Kwan anateseka na kipii? Alikutakaa ukamkataaa?
mbona km kuna kitu kinamsumbuaa? Woiiiiiiih
Na mimi namshangaa yani?? Kanikalia kooni sijui nilimfanya nini huyu mzee??




wee umesema kibaraka was kichaa, kanikwarua sehemu na nimekausha, em kanitag nionee. PlzNimekutag na wengine wanachekelea nenda uzi āTupige kura nani mrembo wa jfā fatilia comments zangu utaonawee umesema kibaraka was kichaa, kanikwarua sehemu na nimekausha, em kanitag nionee. Plz