Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 20,056
- 45,848
👉📦 Basi 🤔Sasa kama kanionesha mie nifanyeje mtumishi.....inabidi niuangalie tu tena kwa makini
👉📦 Basi 🤔Sasa kama kanionesha mie nifanyeje mtumishi.....inabidi niuangalie tu tena kwa makini
Ntumie ya bando 🤣🤣🤣👉📦 Basi 🤔
Yeye Mwenyewe kakubali hakufai kule 😂😂😂Basi mkuu siendi nimekubali😂
DM nambaNtumie ya bando 🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariii tupuu.Udugu utaniua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daah ita bodaboda basi😂Shemeji huku usije utaharibu ndinga lako, kuna mashimo km unaingia Jehanamu 🤣🤣🤣🤣
Acha uoga tuma mbona 10k pesa mbuzi hiyoHapana hapana...
Yaan hapa kasema nitume nauli ya boda kuna sehemu kafika....
😁😁😁😁😁😁😁😁
Ila mpaka sasa hivi moyo unafanya paaah naona kama watanilamba hivi ten langu dada ,😁😁😁😁😁
Nimecheka had baas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shemeji huku usije utaharibu ndinga lako, kuna mashimo km unaingia Jehanamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpambe nuksi ushtia timu 😂😂😂Kule Bonyokwa mabonde mabonde na makorongo aisee 🤣🤣🤣🤣
Wacha weeeNimecheka had baas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akat yeye ni bajeti yake ya mwezi, mihogo na kachumbali kwa mama swaumu. WoiiiihAcha uoga tuma mbona 10k pesa mbuzi hiyo
Wahala everywhere 😂😂😂😂Yeye Mwenyewe kakubali hakufai kule 😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haswaaaaah, lekcharaaaaa.Wacha weee
Unataka nicheke nipaliwe ufurahi 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariii tupuu.
Nakusagia kunguni tuMpambe nuksi ushtia timu 😂😂😂
Boda vibaka wenyewe 😂😂😂Daah ita bodaboda basi😂
Tuwekee voice note ya kicheko basi 😂😂😂Unataka nicheke nipaliwe ufurahi 😂😂😂😂
Khaaa😂Boda vibaka wenyewe 😂😂😂
😂😂😂 shemeji ataharibu ndinga huku makorongo km barabara ya chunyaNimecheka had baas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] furahi leo Eid uduguu.Unataka nicheke nipaliwe ufurahi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]