I Love you too much Lamomy

I Love you too much Lamomy

Umeogopa kusema ulichotaka kusema??
Hongera nimekwambia nimemkubali?? 🤣🤣🤣
😁😁😁😁😁😁Ooooooooh ngoja kwanza ila ushaelewa najua 😁😁😁....

Mpya ya Leo nimeokota dodo kwa mpapai yaan hii akiskia wizo sijui taweka wapi sura yangu
 
kwahiyo ss hivi wanabugia??
Dah! Ila roho inaniuma tumepoteza mwanandugu kwa sababu ya sele nimelia sana
"We selemanii wee eeeh selee"

"Mbona km una laana seleee, aaah seleee"
"Unatafuta lawamaa selee, aaah seleee"

Mirungi mishishaa, mibangii selemaniiiiiiiiii
 
😁😁😁😁😁😁Ooooooooh ngoja kwanza ila ushaelewa najua 😁😁😁....

Mpya ya Leo nimeokota dodo kwa mpapai yaan hii akiskia wizo sijui taweka wapi sura yangu
Dodo lipi tena?? Hebu tuambie dada zako tujue usije kuwa umeokota matunda ya nyoka 🤣🤣🤣🤣
 
"We selemanii wee eeeh selee"

"Mbona km una laana seleee, aaah seleee"
"Unatafuta lawamaa selee, aaah seleee"

Mirungi mishishaa, mibangii selemaniiiiiiiiii
Udugu utaniua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Dodo lipi tena?? Hebu tuambie dada zako tujue usije kuwa umeokota matunda ya nyoka 🤣🤣🤣🤣
Hapana hapana...
Yaan hapa kasema nitume nauli ya boda kuna sehemu kafika....
😁😁😁😁😁😁😁😁
Ila mpaka sasa hivi moyo unafanya paaah naona kama watanilamba hivi ten langu dada ,😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom