I love him

Kwanini ushindwe nanyi mpo Nigeria pamoja, au anauhusiano na Boko Haram ?
 
mahipsi baby kwa ofisi ninayofanyia kazi hamna mrembo hata mmoja. Si unajua waindi wanavyopenda kuajiri wastaafu.
haha poleh kama ni mstaafu ts owky ila kama still kijana nakushauri utafute kazi kwa nguvu cz u nid beautiful ladies besides when ua doing zats so called work................thats motivation
 
hiyo ni njia ya kumuonyesha mtu unampenda au kuonyesha that he turns u on??!... coz nashindwa kuelewa hiyo ndo speaking through actions au?
 
hiyo ni njia ya kumuonyesha mtu unampenda au kuonyesha that he turns u on??!... coz nashindwa kuelewa hiyo ndo speaking through actions au?
Anachohitaji hapa ni kugegedwa na huyo jobmate wake. Hii ni njia rahisi yakukamilisha tamaa zake za mwili. lakini kama anataka kupendwa hadi kuolewa njia hii haifai 100% coz jamaa atajua demu huyu ni kicheche hivyo atafute njia nyingine yakufikisha ujumbe kwa muhusika.
 
Fanya kazi wewe mapenzini subr. Eti unashndwa kufanya kaz wakat kaz yenyewe ulimalza viatu kuizungukia.mxyuuuu
 
Sasa unashindwaje kufanya kazi ,Akili inahama?
pole sana ..feedback haha
 
unajuaje kama ana gari ha ha
 
unajuaje kama ana gari ha ha
Kwa kweli sina uwezo wa kujua nini anacho na nini hana. Huo ni mmoja wa mifano tu ambao dada anaweza kuchagua. Badala ya gari unaweza weka baisikeli, pikipiki nk. Ila nafurahi kututaarifu kuwa analo gari. One day labda tutapata lift. Pia kwa ndani ya moyo wangu, kweli nilifikiri kuwa kwa wana JF wengi, kuwa na gari sio big deal sana. Inawezekana nakosea. Cheers
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…