I love him

I love him

Duh. . shem m bado nakomaa na ktabu

sawa shem we endeleza mashambulizi kipande hiyo but, kama ukijisikia kunifia kimahaba just let me know, badala ya kufungua thread kama huyu mlolongo unakua mrefu, its a little bit weird to us but some of us do understand that you also have feelings,
 
Ha ha ha ha ha ha. . Na your soap???
 
Kwa kweli sina uwezo wa kujua nini anacho na nini hana. Huo ni mmoja wa mifano tu ambao dada anaweza kuchagua. Badala ya gari unaweza weka baisikeli, pikipiki nk. Ila nafurahi kututaarifu kuwa analo gari. One day labda tutapata lift. Pia kwa ndani ya moyo wangu, kweli nilifikiri kuwa kwa wana JF wengi, kuwa na gari sio big deal sana. Inawezekana nakosea. Cheers

oops mie sina mwaya , i was kidding tu ndo maana nikacheka
Nataka nipitishe mchango JF mnichangie maana maharusi mnachanga wewe nichangieni bathi na mie
 
Habari zenu Guys, miss u so much.

Natumaini wote mko poa.

Jamani mwenzenu nimempenda Mkaka, mbaya zaidi tupo ofisi moja kila ninapomuona nashindwa kufanya kazi, natamani ajue lakini tunaheshimiana sana.

I don't know what to do.

I am in love.

Embu ni PM pic yako na yake afu nifanye analysis niweze kukushauri kama waweza bahatika kwake au utaishia kupigwa chini
 
Habari zenu Guys, miss u so much.

Natumaini wote mko poa.

Jamani mwenzenu nimempenda Mkaka, mbaya zaidi tupo ofisi moja kila ninapomuona nashindwa kufanya kazi, natamani ajue lakini tunaheshimiana sana.

I don't know what to do.

I am in love.

Nimekuelewa mrembo kuanzia Leo najilegeza,nilihisi hisia zako mapema ila nilikuwa naogopa utanpga kibuti

.
 
Ngoja nikupe mbinu za kiume kidogo. Kwa wanaume kukataliwa suna. Wewe mwingie umsomeshe akikataa unachukua hamsini zako kma vile hujawahi kukutana naye..
 
Habari zenu Guys, miss u so much.

Natumaini wote mko poa.

Jamani mwenzenu nimempenda Mkaka, mbaya zaidi tupo ofisi moja kila ninapomuona nashindwa kufanya kazi, natamani ajue lakini tunaheshimiana sana.

I don't know what to do.

I am in love.

Ana hela pia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom