I love him

data.... kiukweli naona nimempenda kweli..... lakini naona nijipe muda pengine ni crush tu
 
Last edited by a moderator:
Kwanza twambie ukweli, ni single or married guy? Tuanzie hapo ili nikupe ushauri mzuri
 
kamtesh yupo single.... na sijawahi sikia akizungumzia kuhusu Girlfrnd..... naona kama hana lakini sina uhakika
 
Last edited by a moderator:
everlenk... naogopa..... yani hata sijui nitaanzaje
 
Last edited by a moderator:
data.... kiukweli naona nimempenda kweli..... lakini naona nijipe muda pengine ni crush tu

aisee,,,mwambie aingie MMU kuna uzi wake... Kwisha kazi.
 
Last edited by a moderator:
Honey Faith...... u r 2 clever.... ha ha ha... i like dat.... nashindwa kukutupia like cz ya netwrk.... thanx my lady i ll work on t
 
Last edited by a moderator:
Jitahidi kumzoea...ukishamzoea hizo hisia zitaisha na utamuona wa kawaida sana
 
Khantwe....
Eti eehhh...! pengine sio wakwangu.... thanx ngoja nimzoee
 
Last edited by a moderator:
Khantwe....
Eti eehhh...! pengine sio wakwangu.... thanx ngoja nimzoee

Am talking from experience. Ukiona umemzoea na kumjua vizuri na bado ukawa unampenda then funguka sio vibaya lol
 
Last edited by a moderator:
Hakika hakuna pepo wa uzinzi ndani yangu. Nimempa tu moja ya mbinu za kumpata ampendaye. Is it a crime kumpenda mtu? Wanawake haturuhusiwi kuexpress feelings zetu? Since hawezi kuongea na huyo kaka na kumwelezea shida zake, I think lugha ya picha itamsaidia kufikisha ujumbe wake.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums[/QUOTE
Msikilize roho wa mungu, acheni kwenenda katika mwili.
 
everlenk... naogopa..... yani hata sijui nitaanzaje

Usiogope mama, woga wako ndo fimbo ya imani yako,anza kwa kuwa rafiki naye kwanza,body language zikizidi sana zinakushusha personality yako,unahitaji kuwa makini sana. Pia anza kupeleleza kama ana mtu au la,kama ana mtu ridhika kiroho safi umuone wa kawaida tu,kama hana hiyo ni chance yako itumie.
 
Last edited by a moderator:
Take a break and analys: Je, katika judgement ya haraka, kuna uwezekano wa kuwa pamoja? Yaani una kitu kinachoweza yeye pia kumvuta kwako? Iwapo jibu ni No then endelea umia tu. Iwapo kuna yes or most probable, then start acting: Omba misaada isiyo na burdens, kukusindikiza ATM, kwa lunch, kusikiliza starter ya gari yako inavyotoa kelele ya ajabu etc, The far from office the better. All the best na usigonge jiwe.
 
Back
Top Bottom