Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,160
- 72,200
pole mkuu, maturity matters in relationship you know?Duh, kawaida sana mkuu, ila ndiyo ubinadamu huo
pole mkuu, maturity matters in relationship you know?Duh, kawaida sana mkuu, ila ndiyo ubinadamu huo
Asante mkuu, ndiyo maana nikasema umri hauhusiani na vituko vya mtu kwenye mahusiano, ni tabia, hulka na uelewa wa mtu mwenyewe,pole mkuu, maturity matters in relationship you know?
Sometimes unahusiana usione kwa upande mmoja tu, upande mwingine pia utoto utoto huisha umri unavyokuwa mkubwa and viceversaAsante mkuu, ndiyo maana nikasema umri hauhusiani na vituko vya mtu kwenye mahusiano, ni tabia, hulka na uelewa wa mtu mwenyewe,
Unalosema ni kweli ndg, ila akili za mtu ni ngumu kuzielewa muda mwngineSometimes unahusiana usione kwa upande mmoja tu, upande mwingine pia utoto utoto huisha umri unavyokuwa mkubwa and viceversa
TeenageMna umri gan?
usiingie mzimamzima kwenye suala la mapenziUna maana gani mkuu?
Hawa madogo hawaDuh! Mitano Tena Wallah
Huyu bado dogolasi tafuta kitu ingine ya kushauriusiingie mzimamzima kwenye suala la mapenzi
halafu uache utoto kudekadeka na kulegea legea, stop being emotional sana.. we wa kiume kaza!
sawasawaHuyu bado dogolasi tafuta kitu ingine ya kushauri
SAHIHI MKUU, ILA WENGINE AKILI ZOTE ANAWEKA KWENYE MAPENZI AKIPIGWA TUKIO KIDOGO TU ANATETEMEKA SANA KAMA SIO KUYUMBAUnalosema ni kweli ndg, ila akili za mtu ni ngumu kuzielewa muda mwngine
Acha uwaki. Mwite ghetto mpelekee moto uone kama ataendelea kukutingishia kiberiti.




Ni nini?
Ni nini?
Kuna mtu akipenda amependa kweliSAHIHI MKUU, ILA WENGINE AKILI ZOTE ANAWEKA KWENYE MAPENZI AKIPIGWA TUKIO KIDOGO TU ANATETEMEKA SANA KAMA SIO KUYUMBA
hii ni kweli kabisaKuna mtu akipenda amependa kweli
Asante umekuwa mtu wa kwanza dunia nzima kunitakia heri ya mwaka mpya. Chagua zawadi ila isizidi gharama ya 5000.Heri ya mwaka mpya mkuu
Because you are mad.comeback to your senses......