Acha ujinga wewe lea familia yakoHahaha....duh asa nifanyeje...cause yy hanitafti nikisema nimtext tena si yale yale atazidisha dharau
FOOLISH AGE AU SIOUmri kaka 😂😂
Umri unamruhusu
Mwambie aje geto acha kumjulia julia hali kama vile katoka kijifunguaOur last chat..View attachment 2063768
FOOLISH AGE AU SIO
NAONA KAFUTA ORIGINAL POST KAWEKA ........Hakika
kwa kweliNasisistiza📍🔨
UMRI🙌
Mkuu kwenye upendo au mapenzi hua kuna umri, wa mtu kuzingua au kutozingua au inatokana na hulka na tabia ya mtu mwenyewekwa kweli
unataka kuniambia hulka na tabia za mtu wa miaka 18-25 ni sawa na za mtu wa miaka 30-40?hulka na tabia ya mtu mwenyewe
Mkuu, hao viumbe kila mmoja huwa na akili na uelewa wake haijalishi umri ndg, yuko ambaye namfahamu ana 36 lakini mambo yake ni zaidi ya mtoto wa miaka 18unataka kuniambia hulka na tabia za mtu wa miaka 18-25 ni sawa na za mtu wa miaka 30-40?
ujana ujana na utoto utoto mwingi ni changamoto
Mkuu, hao viumbe kila mmoja huwa na akili na uelewa wake haijalishi umri ndg, yuko ambaye namfahamu ana 36 lakini mambo yake ni zaidi ya mtoto wa miaka 18
Mama mwenye watoto wawiliWa jinsia gani
Mkuu, hao viumbe kila mmoja huwa na akili na uelewa wake haijalishi umri ndg, yuko ambaye namfahamu ana 36 lakini mambo yake ni zaidi ya mtoto wa miaka 18
Wa jinsia gani
utashi,kujitambua na kujielewa basi nadhani ndio vinamsumbuaMama mwenye watoto wawili
Mama mwenye watoto wawili
Haya mambo ndg yangu huwa ni magumu unakuta unamjali mtu, unamthamini hata kwa kile kidogo ulicho nacho lakini anakuona mjinga anakuchulia poa ila ndiyo maisha hayoutashi,kujitambua na kujielewa basi nadhani ndio vinamsumbua
Women are funny animal and they come with an expired date, japo siyo woteAkili anazo baba wa hao watoto. Na hizo akili zake ndio zinaonekana kwa mama wa watoto
"Muishi nao kwa akili"
YALISHAWAHI KUKUKUTA?Haya mambo ndg yangu huwa ni magumu unakuta unamjali mtu, unamthamini hata kwa kile kidogo ulicho nacho lakini anakuona mjinga anakuchulia poa ila ndiyo maisha hayo
Duh, kawaida sana mkuu, ila ndiyo ubinadamu huoYALISHAWAHI KUKUKUTA?