I love her madly. Why she acting this way?

I love her madly. Why she acting this way?

si uvikaushie!!! unamuendekeza....

mimi ndio ningekua wewe ningemwandikia msg moja tu, "njoo nikutoooo kama haujisikii basi usicheze na hisia zangu, sipo interested".

sasa nawe akikutumia kimsg hadi mishipa ya kwenye moyo inashtuka
Nice ideas........ingawa only u talk sabb sio la kwako...unaliona rahis
 
Just Ignore her. Jikute uko bize kama 007, you want to save the world and blah blah.. halafu tafuta hata msela wako wa kike akupe visits za kutosha. She will fall back in line!
Akili mtu wangu!
Moral lesson ni ipi?
 
Cha kwanza,, punguza hichi kingereza ukiwa unachat nae😂😂Pili,,Huyo dem kashawahi kuja geto?? Alivyokuja ulivyomuomba game alisemaje?? Sasa fanya hivi mualike geto af fanya mchakato umkaze,, Af acha kuwa mlaini kwake muoneshe ur an alpha male!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom