I love her madly. Why she acting this way?

I love her madly. Why she acting this way?

That's what I did to my old hoe

Kilijipa thamani ambayo hakina kikajiona ni princess kwenye kasri ya kifalme basi akajiona cake

Nami kwakua sikua na time ya kubembeleza nikamkaushia, hakuamini mpaka pale alipotuma meseji akiuliza kama nilishawahi kupoteza simu.

Alihisi pengine ule ukimya ulitokana na mimi kupoteza namba yake kumbe nimeamua tu kumlia buyu
Mkuu Scars ukimkaushia mwanamke au ukikata nae mawasiliano lazima audience kwasababu anakosa attention
 
Ungeweka picha yake ndo nikajua ni nani nisije kukushauri ukakuta nakupa ushauri mzuri wa kumla my wangu! Mapenzi hayanaga macho ila na huo upofu wake ni vurugu tupu.
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom