I looooveeee uuuu

I looooveeee uuuu

Babarita

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
388
Reaction score
126
Lala1 ..Mdada nimekupenda sana kwa kuangalia avatar yako na muandiko wako hapa jamvini.nimekuwa nikikufuatilia sana humu jamvini sio siri maneno yako yamenifanya nikudondokee kimapenzi..nakiri mimi mmasai nilyeanguka kwako naomba uwe mamaa yoyo wangu..kwa kipindi cha mwaka mupya ujao.2014
 
rala 1 huyu anayekupenda kimapenzi mbona ana jina la kike? nini kinaendelea jamani?
 
Last edited by a moderator:
haya lara 1 funga mwaka hiyo..njoo umsikilize baba yoyooo
 
Lala1 ..Mdada nimekupenda sana kwa kuangalia avatar yako na muandiko wako hapa jamvini.nimekuwa nikikufuatilia sana humu jamvini sio siri maneno yako yamenifanya nikudondokee kimapenzi..nakiri mimi mmasai nilyeanguka kwako naomba uwe mamaa yoyo wangu..kwa kipindi cha mwaka mupya ujao.2014

Lala1....?
 
Cc. lara 1
 
usidhani pesa ni kila kitu kwake ohoooooooooo inabidi uwe vizuri kichwani pia may be ndo anaweza akakufikiria hebu tuambie una degreee ngapi
 
lara 1 kuna mutu huku imekupenda,,
Sina hakika kama anakizi vigezo.
 
Last edited by a moderator:
haujui kutuma PM?

au unatafuta kick?

haya bana all is well! ngoja nione kasi ya meli barabarani!
 
yerooo

Weka na c v yako kabisa aione,

Benki una shilingi ngapi

Kichwana unamiliki Mawe mangapi,

Uzoefu wako kwenye Malove,
Vitu kama ivo ili kumvutia zaidi Lara Moko,
 
haujui kutuma PM?

au unatafuta kick?

haya bana all is well! ngoja nione kasi ya meli barabarani!

Ni vizuri dunia nzima ijue nimekufa nimeoza kwa huyu mlimbwende wa humu jamvini..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom