I know am guilty, help me get out of this mess

I know am guilty, help me get out of this mess

Dear,hiyo design ya wanaume kulia naijua na wengi ni wale wanafki,matapeli(no matter how they rock your bed)
Pia....hakuna mume wa mtu ambaye anasema mkewe hana matatizo....ni 1 OUT OF 10......Kila mtu atakupa sababu zake ambazo kwako si za msingi za kukufanya uingie kwenye dhahama hiyo.....
Siku utapogundua kuwa anaishi vizuri tu na mke wake...na wewe ndio tayari 'MAHABA NIUE'utaanza trip za waganga ili kumshika na ndio mwanzo wa matatizo mengine mengi............Take Care!!
 
Bhuuuu....

Una bahati umekutana na mianaume mibweg.e Mie mme wa mtu na sichuniki kivile. Nakugegeda na hela yangu utaisikia tu. Hongera unakutana na midume mibweg.ee K zilivojaa hapa mjini, we chuna tu huko Temeke.... Tuliozaliwa hapo Ocean Road utatusikizia Chuda tumetekwa na watoto wa kitanga...

KOKUTONA Na Ennie msije hili jukwaa la wakubwa

Fidel80 kwa ajili ya kumbukumbu ya chama.
Basi nimepita tu mie,msalimie umbuje KOKUTONA.
 
Last edited by a moderator:
Sijui kwanini waume za watu huwa tunapendwa sana na hawa wadada walioumizwa na wavulana. Yani sielewi kabisa.

Mpwa huyu kapenda dudu ya mume wa mtu....sasa ndio tujiulize dudu zetu zijui zina manjonjo gani sisi tuliooa.
 
Wewe unapiga tano nyumbani moja...very unfair!! Achana nae hawezi kukuoa huyo.
 
mimi niko tofauti kidogo! mi naamini zaidi ktk mapenzi kuliko ndoa, hebu acha kufikiria kuhusu ndoa ya mwenzio fikiria ww kama ww, unahitaji future au raha ya muda (it can be years but for sure sio wa kuzeeka naye)

So nachokushauri jifikirie ww, unataka nn na unakipata? Kama unahitaji mchezo tu! Basi endelea naye na make sure you enjoy it manake it wont last longer!
 
kuna dada alikuwa jirani yangu, kamfumania mumewe gesti na mwanamke mwingine analia kweli kweli na sasa anasubiria kikao cha ndugu kwa suluh.kinachonifanya niandike hivi ni kwamba, huyo dada kabla hajaolewa, aliwahi tembea na mume wa mtu, na aliona sawa tu na alikuwa akiambiwa aache alikuwa haelewi.

na mume aliyenaye kwa sasa alimnyang'anya shogha yake kipenzi na mpaka leo hawaongei kwa ajili ya huyo bwana. alisahau kwamba cheater is always a cheater... so bi dada, huyo jamaa hata akifanikiwa kumuacha mkewe akakuoa wewe, ata-cheat na kwako wewe pia. au siku akipata mwingine, atakubwaga tu. usidanganyike na mgegedo unaopata kwa sasa, sio wako huyo
 
mambo mengine magumu sana, haya bana naona ushuri mwingi ushatolewa
 
pole kwa hlo dadangu ila yakupasa uachane nae hasa kwa kukaa nae na kuongea nae vzuri akaelewa na mkafkia muafaka kla mtu aangali future yake.
 
Angalia furaha ya moyo wako,,, ndoa yenyewe ipo tu haiwezi kuvunjika..
 
Mhhhhhhhhh!

Nikiwa kama EXPERT WA WAUME ZA WATU, SHOSTI PO UMEUMIA NA UNAPIGWA CHANGA LA MACHO!!!!!!!! Hakuna cha kumuacha mkewwala upuuzi! Dudu hio ndo inamfanya aseme yote hayo na kutaka uendelee kumge mambo ya kikubwa bureeee kwa kumhurumia. Mwanaume anaweza hata kumtukana mzazi wake kama ndo utakacho ili utoe mambo hayo!

Hapo mapen hamna usanii tu wa kupeana mbo adimu baaaaaaas! We usijibwteke MCHUNEEEE UNYOOSHE MAMBO YAKO MSTARI AFU MWACHE AKAFIE MBELE HUKO! Hata dakika oja usisahau ANAKUTUMIA! Sasa UNATUMIKA VIPI JUU YAKO! We mtu mzima.

Mche unaoufanya wa KUTAKA KUJIBINAFSISHIA MUME WA MWENZIO JUMLA JUMLA SIO ISHU KABISAA! Kudokoa inaruhusiwa ila kukwangua ukoko kwenye sufuria ni kumbeep mpishi!

Mume wa mtu ukimpata jivinjari! Hana mpango na wewe jivinjari, anakudanganya jivinjari!!!!!!!!!!

Ahhh Lara 1 U made me laugh jamani,una vituko wewe hatariiiiiiii,unatuchekesha tulionuna
 
Alafu na wake za watu sijui kwanini tena wanawapenda vijana mabachela wenye rafiki zao wa kike ambao wanapendana tena na bado wanawaonea wivu
Wachumba wanatoa k kimachale, wanataka fedha na kutafuta ndoa kwa kutumia k zao kwa wachumba zao vijana; wanawake za watu silaha yao kubwa ni kutoa k kiroho mbaya kwa vijana wasiooa maana nao wana UH; Usisahau mwanaume yeyote anahitaji k k kiroho mbaya isiyo na masharti. Wasichana wanatoa k kiroho mbaya kwa Waume za watu kwa vile wana uh na wanataka kuwaATM (afterall haoni ni kwanini asiwe free maana hategemei huyu si muoaji). Wanawake walioolewa wanavurugu majumbani, wanajisahau, wanamahitaji mengi toka kwa waume zao kiasi dushe la waume zao halisimamiza; utulizo wa waliooa ni kwa Wasichana. Ukijua loop hii huwezi kushangaa.
 
Duh ngumu! Pole sana mpenzi! Kwa akili ya kawaida apo wajidanganya!
Me nakupa option mbili;
1) We mtumie fanya mambo yako ya maana..nyumba ,biashara nk..
Hehehehe mi mbaya!) then umwache taratibu...umwambie mkewe amekuomba for the sake of the kids.
Yani taratibu tuu sio kurupu! Au umwambie umepima unangoma nae akapime heheheh ila goma kwenda nae🙂

2) mwelezee mchungaji ila usimtaje uyo kaka ye akuombee ingeneral af kuhusu mume wa mtu. Af kuwa na imani through kujijengea nia ya kuachana nae kimaukwelii..ila atlst uwe ushajiwekeza vizuri shost usijkute ndo umechezea Asernal miaka yote kwa mkopo...hehehe

nb; shit happens anyway!
goodluck
🙂
Nyekundu hii ni hatari sana maana mchungaji atammega tu!!! Hawa Wachungaji ni hatari sana.
 
Kwa kuwa ulifiwa na baba yako mpendwa nikupe sympathy,na kwa kuwa ulimpata mwanaume uliyekaa naye wakati wote huo ukivumilia mambo yenu ya ndani nikupe pongezi,na kwa kuwa basi una mtoto wa miaka sita nikupe hongera na na mega bundle ya happy birth dates kwa miaka sita mfululizo.

Kwa kuwa ulijitambua baada ya mama kumsifu huyu kijana anayejua mapenzi kuliko wa zamani hongera,na kwa kuwa uliombewa 'ili ujitambue' niseme halleluyaaa!

Kwa kuwa umeachana na mwanaume wako nikupe pole,na kwa kuwa unajua machungu ya mume asiyejua kwanini yeye ni mume nikupe pole pia,kama sikosei umekiri mume wako alikuwa anatembea na wanawake wenzio...pole sana,sasa basi...

Kwa kuwa wewe ni mwanamke,na kwamba unajua machungu ya kutendwa na kwamba unajua namna mwanamke anavyopata shida kuendesha familia baada ya penzi lake kuingiliwa,basi nikupe pole kwa kujitoa akili,kuondesha kitendo kisichokuwa cha kiungwana dhidi ya mwanamke mwenzio,kudhalilisha wanawake wenzio wasioamini katika kuchukuliana mabwana! Cha kufanya basi...

Kwanza kabisa jiondoleee ile dhana ya uyatima,miaka 26 siyo mingi bhado unaweza kujishughulisha na mambo mengi yatakayokuinulia kipato cha kuendesha maisha yako na ndugu zako! Mwambie huyu mume wa mwenzio mnachofanya ni dhambi kwa kuanzia duniani hadi kwa Mungu ukizingatia maadili ya dini yako,akiisha kuelewa yafaa kwa mara nyingine kiongozi wa kiroho akutubishe kisha kama utaona inafaa ukampigie goti mke wa mwenzio na kama mshipa wa aibu huna unaweza kumfundisha yale yote yanayosababisha huyu bwana asitulie nyumbani akufuate wewe!
 
Shosty, fanya uamuzi mgumu hata kama moyo unakukwamisha. Kila la kheri!!

[video=youtube_share;8c8cKm4qC9M]http://youtu.be/8c8cKm4qC9M[/video]
 
Hapo kwenye bold sina la kuongeza...sisi wanawake (nyumba ndogo na kubwa) tumerogwa na aliyeturoga kafa....

wanaume siku zote ni 'innocent'

All lousy,cheating, foolish married men do that. Wenye akili kidogo huea wanasema ' I dont wanna talk about it' wanaishia hapo. Ila anaemsimanga mkewe ni mpuuzi tu na siku akidakwa atasema wewe ni kahaba na umemganda afu mkewe atamsamehe akijua ulimloga.

Ngoja kwanza, huyu mzinzi mwenzio bado anakujaga kufanya maombi na mama na kufariji? Manake hakawii 'kumfariji' hata mama. Chezeiya round 5?
 
What goes around comes around 10 TIMES HARDER!!!!!!!


kuna dada alikuwa jirani yangu, kamfumania mumewe gesti na mwanamke mwingine analia kweli kweli na sasa anasubiria kikao cha ndugu kwa suluh.kinachonifanya niandike hivi ni kwamba, huyo dada kabla hajaolewa, aliwahi tembea na mume wa mtu, na aliona sawa tu na alikuwa akiambiwa aache alikuwa haelewi.

na mume aliyenaye kwa sasa alimnyang'anya shogha yake kipenzi na mpaka leo hawaongei kwa ajili ya huyo bwana. alisahau kwamba cheater is always a cheater... so bi dada, huyo jamaa hata akifanikiwa kumuacha mkewe akakuoa wewe, ata-cheat na kwako wewe pia. au siku akipata mwingine, atakubwaga tu. usidanganyike na mgegedo unaopata kwa sasa, sio wako huyo
 
Back
Top Bottom